polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,362
- 5,809
We Mwenzetu unaangalia uzuri gani?Huyo dada aliyechuana na mwanafa hivi ana nini au uzuri wake upo wapi?
We Mwenzetu unaangalia uzuri gani?Huyo dada aliyechuana na mwanafa hivi ana nini au uzuri wake upo wapi?
Baada ya kutumbuliwa na JPM kwa kosa la uzinzi na ufuska.... Cjawah msikia tena.Mwampamba siku Hizi yupo wapi?
Ana M.A iliyosimama pale UD na uzoefu wa kutosha kwenye uongozi (Mind you ni kiongozi kanda ya kaskazini) Pili she's cuter than ur wife or sister. Tatu, ana exposure ya kutosha.Huyo dada aliyechuana na mwanafa hivi ana nini au uzuri wake upo wapi?
MweupeKwa nini anafaa?
Membe alipewa mda wa kuongea, democrasia ya Uhuru wa kujieleza ilizingatiwa sio huuu udikiteta unaofanywa na kikundi chenu dhidi ya hawa wanawakeee. Mumewaonea kwakua niwanawakeee.Membe alionewa?
Anaweza akawa anafaa sana ila yule sio wa mitandaoni, na ndio maana huoni mtu akimtaja na hata wewe jina tu umemsahau.
Chadema inaendeshwa kwa matukio na mihemko.
Anaitwa Dr.Maryrose
Ana M.A iliyosimama pale UD na uzoefu wa kutosha kwenye uongozi (Mind you ni kiongozi kanda ya kaskazini) Pili she's cuter than ur wife or sister. Tatu, ana exposure ya kutosha.
Una lingine?
Atafanya nini Sasa, kwa uwezo hamfikii hata kafulilaSubiri press ya Mdee J2
Kwani mimi Chadema?Anaweza akawa anafaa sana ila yule sio wa mitandaoni, na ndio maana huoni mtu akimtaja na hata wewe jina tu umemsahau.
Chadema inaendeshwa kwa matukio na mihemko.
Anaitwa Dr.Maryrose
Una akili sanaSuzan Kiwanga, Mbunge halali wa Mlimba
Nafikiri Suzan Kiwanga ni mkomavu zaidi ya wote haoNilishasahau kama huyu binti yupo.
-Upendo Peneza
-Hilda Newton
-Yosefa Komba
-Suzan Kiwanga
-
-
-
Yesu alizaliwa kwenye banda la mifugo. Utu uzima wake wote hakuwa na makazi wala kibarua cha kudumu. Aliishi kwa fadhila za watu.Hilda?muwe mnaulizia background ya mtu kabla hujammention sehemu kama hizi.huyo binti ni binti wa mtaani asiye Hata na makazi ya kudumu Leo uje umpe jumuiya kubwa kama hii ya wanawake are you serious?
Kumbe unamjua, watu wanataja tuHilda?muwe mnaulizia background ya mtu kabla hujammention sehemu kama hizi.huyo binti ni binti wa mtaani asiye Hata na makazi ya kudumu Leo uje umpe jumuiya kubwa kama hii ya wanawake are you serious?