Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
5,974
2,000
Mihemko bado mnaendelea nayo. Bahati mbaya kabisa hamumjui ndio maana nikauliza kwanza, huyo hujui baada ya uchaguzi alikuwa na tuhuma za kushirikiana na ccm? Waulizeni viongozi wa chadema Tanga
Ana M.A iliyosimama pale UD na uzoefu wa kutosha kwenye uongozi (Mind you ni kiongozi kanda ya kaskazini) Pili she's cuter than ur wife or sister. Tatu, ana exposure ya kutosha.

Una lingine?
 

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
5,667
2,000
Anaweza akawa anafaa sana ila yule sio wa mitandaoni, na ndio maana huoni mtu akimtaja na hata wewe jina tu umemsahau.
Chadema inaendeshwa kwa matukio na mihemko.
Anaitwa Dr.Maryrose
Kwani mimi Chadema?
Anaitwa Dr. Mary Rose Majinge. Naona hata wewe surname yake hauijui!

Amandla...
 

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
5,667
2,000
Hilda?muwe mnaulizia background ya mtu kabla hujammention sehemu kama hizi.huyo binti ni binti wa mtaani asiye Hata na makazi ya kudumu Leo uje umpe jumuiya kubwa kama hii ya wanawake are you serious?
Yesu alizaliwa kwenye banda la mifugo. Utu uzima wake wote hakuwa na makazi wala kibarua cha kudumu. Aliishi kwa fadhila za watu.
Nyerere alipojiunga na TAA alikuwa mwalimu wa kawaida tu ambae alikuwa anapakizwa kwenye baiskeli kurudi shuleni.
Bibi Titi Mohammed hakusoma na aliolewa akiwa na umri wa miaka 14. Alikuwa muimbaji kwenye kikundi cha ngoma.
Kutokana na mawazo yako, wote hawa hawakustahili uongozi kutokana na hali duni waliyokuwa nayo.
Mpimeni huyu binti kwa uwezo wake na sio vitu alivyokuwa navyo.

Amandla...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom