Ina
Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .
Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik na Ditopile Mzuzuri
Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .
Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .
Wakati si milele
binafsi namsifu makonda kwa uthubutu kwa sababu ni kiongozi ambaye anathubutu tofauti na wengine wanaweza kufikiri lakini pia wakashindwa kutimiza kwa kukosa uthubutu (kujiamini)hongera makonda keep up! Huyu mkuu wa mkoa anayo mengi ya kuingizwa kwenye historia kwani hayupo aliytokea kupambana na wauzaji madawa ya kulevya waziwazi bila kujificha sura yake na pia hayupo aliyepambana kuwakaribisha achilia mbali kuwatafuta wawekezaji ambao wangewekeza kwenye Jiji la dar.upo wakati unapokuwa kiongozi inatakiwa upigane Kufa na kupona kuhakikisha ya kwamba watu unaowaongoza kwa asilimia kubwa wanakuwa salama kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu bila kujali kwamba kipindi pengine kundi dogo litakaloumia na kukuchukia kwa sababu umeyabana maslahi yao binafsi lakini kwa faida ya walio wengi.Hongera Makonda walio na mapenzi na taifa la Tanzania tunakuelewa.leo nimekusikia unaongelea habari ya mheshimiwa rais kuwa mgeni rasmi kesho kwenye mechi kati ya simba na yanga HONGERA ASANA kwani pamoja na mheshimiwa rais kukubali mwakiko wa Kuwa mgeni rasmi hapa pia zipo bidi na juhudi zako kwani si jambo rahisi kwa mheshimiwa rais mkuu wa nchi kukubali Kuwa mgeni rasmi sehemu ambayo usalama wake uko mashakani, ni kwamba amekubali kuhudhuria mahali hapo ni baada ya kuwa amekubaliana na uongozi wako na wale muhimu walioko chini yako ,
Pia namsifu mheshimiwa Rais kwa kukubali mwaliko huu wa Tff Kuwa mgeni rasmi na hata kuwa ni mgeni kwenye mkoa wa mheshimiwa Makonda lakini kubwa zaidi kwa kutambua umuhimu wa mashindano ya ndani na zaidi kukubali kuwaunganisha watanzania kupitia mashindano haya bila kujali tofauti za vyama vya siasa kwani kuna wakati inatubidi tusahau siasa tujiunge kwenye undugu na upenzi wa Tanzania yetu
Mheshimiwa rais karibu sana japo mimi si mpenzi wa mpira wala klabu yeyote lakini pia sijui na wala sitaki kukubashiri ikiwa wewe ni mpenzi wa klabu ipi
Naamini ya kwamba umekwenda pale kuwajengea watanzania Imani ya kwamba hata klabu zeta ni nzuri na zinafaa pia kusapotiwa na kushangiliwa Zaidi ya vile tunavyofanya kwa klabu za ulaya
Hii ni namna bora zaidi ya kutujenga katika umoja na kutuimarisha kwa mshikamano wetu ndani ya nchi yetu
Ni rais ambaye utakumbukwa kwa mema na zaidi uzalendo kwa nchi
Ni uzalendo ambao pengine hautaonekana wala kuthaminiwa kwa wakati huu
Lakini usihofu hostoria itakuja kukuongea wala si kwa unaya Bali kwa uzuri MUNGU akutie nguvu zaidi ktk kutenda kwako kwa kila siku
Nchi ilikuwa inaibiwa kwenye madini,swala la mafuta ya kula na mengineyo mengi.
Mwisho kuhitimisha atakayekuja mrithi
Makonda ni Yule mwenye uthubutu na uzalendo.
Keep up MKUU WA NCHI MAGUFULI KEEP UP MAKONDA!