Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

Kichuya akipewa itakuwa poa maana ana uzoefu na uwanja ule wa taifa..

Hata Alikiba naye yupo vizuri tu akipewa inaweza kuwa poa
 
Wa kumrithi Makonda sidhani kama atatokea wa kufanana naye kwa sababu siamini kama kuna kiongozi wa kutumia cheti cha mtu mwingine kwenda chuo atakuja kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Dar.
Mnamuonea makonda tu maana hata Mathew Luhanga alikuwa rais hakuna aliyehoji.
 
Nafasi ya Wakuu wa Mikoa imedharaulika hasa Awamu hii..Kazi yao ni kuweka Watu Mahabusu saa 48..
Kazi Nyingine zooote wanazodandia zina Wizara husika.
Kwa Huyu Mropokaji anaweza Kurithiwa na Yeyote yule..Alimradi awe anajua kusoma "A"
 
Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .

Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik na Ditopile Mzuzuri

Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .

Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .

Wakati si milele
Mbona nimesikia ana mtoto kutoka china?si huyo anaweza kumrithi?
 
Back
Top Bottom