DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,959
- 30,814
Embu Tuangalie Hili Swala La Kontena 20 Za Paul Makonda Kwa Jicho La Tatu, Hivi Mtu Aliyeutumikia Umma Kwa Miaka 4 Tu (Hakuwai Kuajiriwa Kabla Ya Hapo)Anatoa Wapi Pesa Ya Kuagiza Kontena 20 Kwa Mkupuo? Inamaana Siku Hizi Utumishi Wa Umma Una Lipa Kiasi Hiki? INASHANGAZA SANA!