Wenzio walienda ikulu juzi kula visheti, wewe unanyambanyamba tu hapa jamii forum.Ukiwa mjinga ukaona mikwara kama hii unaweza kufikiri kuwa nchi ina Rais😁😁😁
View attachment 2235351
3) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana naKatiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
c) | Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano. |
Msoga gangKatiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
Jaji Mkuu au PM wanaruhusiwaKatiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
Hata Waziri mwandamizi anaruhusiwaSpika wa Bunge la JMT
MimiKatiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
3) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana na
masharti yaliyomo katika ibara ndogo ya (2) au endapo kiti cha
Rais kiwazi kutokana na sababu nyingine yoyote, na endapo
Rais atakuwa hayupo katika Jamhuri ya Muungano, kazi na
shuhguli za Rais zitatekelezwa na mmoja wapo na wafuatao, kwa
kufuata orodha kama ilivyopangwa, yaani-
(a) Makamu wa Rais au kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi.
(b) Spika wa Bunge au, kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi
c) Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya
Muungano.
Kwahiyo nanii ndio anatutawala saizi?3) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana na