Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 734
- 1,218
Tofautisha kati ya kiumbe kilichotengenezwa maabara na kilichotoka ardhini. Toleo la 1 na la2 ni tofauti
WeweDada yangu mmoja alikuwa anasema anataka kuolewa na mniga mweusi tii kama mjaluo au mkurya halafu awe na kipara kabisa bila nywele
AmeshaolewaYa huyo dada yako anaetaka kuolewa na black mpingo
Hapa umeniacha mataa. Mimi rangi yangu sijui ni ipi kati ya hizo 🤔Waafrika nin kati ya watu wenye rangi nyingi zaidi duniani
1.Nyeusi sana – dark brown / ebony
2.Kahawia ya wastani – medium brown
3Kahawia nyepesi – light brown / tan
4Mchanganyiko / golden – beige / caramel.
Rhabhekhaaaa!!!
Kasema alishika nywele za jamaa aitwaye Abdul, au abdul kwako ni wa kike?.si kila singasinga au mzungu ni mwanaume mkuu!
Fuga tu hicho kipilipili huwa kinapeperuka mkuu. Hata wao wakinyoa hazipeperuki na upepoMimi nimewahi shika nywele za Mwarabu jina lake Abduli, ni zamani kidogo kipindi nikiwa kidato cha kwanza. Nilishangaa nilivyozishika kwani zilikuwa ngumu kama manyoya ya kondoo nilitegemea zitakuwa laini. Na wengine mtoe ushahidi wenu.
Lakini, kabla sijaongea sana kwanini sisi watu pori tuna nywele ngumu sana kama katani vile, alafu rangi yake haieleweki! haki yaani mi naonaa haya ni makusudi ya Mwenyezi, kwanza alianza na rangi ya ngozi tukazuga cheusi mangala sasa na hili la nywele mi naona nimchane laivu kwani ushaidi upo wazi.
Jamani hii kesi ishakuwa kubwa sana! Shida ilianza kwa madada zetu wakaugeza uzungu kwa kuwa na nywele ndefu kwa mawigi ya bei mbaya sasa shida imekuja kwa wanaume pia sasa kila kukicha wapo na black kwa nywele zao.
Swali la mwisho kwa nini upepo haupeperushi nywele zetu kama hawa wenzetu? This is so unfair
Lazima iwepo tu hapo huldaHapa umeniacha mataa. Mimi rangi yangu sijui ni ipi kati ya hizo 🤔