Nani amewahi shika nywele za mzungu au Singasinga?

Nani amewahi shika nywele za mzungu au Singasinga?

Mimi nimewahi shika nywele za Mwarabu jina lake Abduli, ni zamani kidogo kipindi nikiwa kidato cha kwanza. Nilishangaa nilivyozishika kwani zilikuwa ngumu kama manyoya ya kondoo nilitegemea zitakuwa laini. Na wengine mtoe ushahidi wenu.

Lakini, kabla sijaongea sana kwanini sisi watu pori tuna nywele ngumu sana kama katani vile, alafu rangi yake haieleweki! haki yaani mi naonaa haya ni makusudi ya Mwenyezi, kwanza alianza na rangi ya ngozi tukazuga cheusi mangala sasa na hili la nywele mi naona nimchane laivu kwani ushaidi upo wazi.

Jamani hii kesi ishakuwa kubwa sana! Shida ilianza kwa madada zetu wakaugeza uzungu kwa kuwa na nywele ndefu kwa mawigi ya bei mbaya sasa shida imekuja kwa wanaume pia sasa kila kukicha wapo na black kwa nywele zao.

Swali la mwisho kwa nini upepo haupeperushi nywele zetu kama hawa wenzetu? This is so unfair
Nywele za Kiafrika ndio nzuri. Zipo very simple and unique na zinaendana na rangi zetu za ngozi za Kiafrika (black/brown skin). Ukiona unalalamikia nywele zako huenda hujui kuzitunza
 
Nywele za Kiafrika ndio nzuri. Zipo very simple and unique na zinaendana na rangi zetu za ngozi za Kiafrika (black/brown). Ukiona unalalamikia nywele zako huenda hujui kuzitunza
Waafrika nin kati ya watu wenye rangi nyingi zaidi duniani


1.Nyeusi sana – dark brown / ebony

2.Kahawia ya wastani – medium brown

3Kahawia nyepesi – light brown / tan

4Mchanganyiko / golden – beige / caramel.
 
Hayo manywele ukiyanyoa mashine hadi unoe tena yaaani acha tu
Ila hata hizi za kiafrika pia zina tofauti kubwa , kuna ngumu ,laini , saizi ya kati , Pilipili na hata zilizonyooka na ndefu zipo mkuu.
 
Waafrika nin kati ya watu wenye rangi nyingi zaidi duniani


1.Nyeusi sana – dark brown / ebony

2.Kahawia ya wastani – medium brown

3Kahawia nyepesi – light brown / tan

4Mchanganyiko / golden – beige / caramel.
Ni kweli, race yetu ni very diverse
 
Ila hata hizi za kiafrika pia zina tofauti kubwa , kuna ngumu ,laini , saizi ya kati , Pilipili na hata zilizonyooka na ndefu zipo mkuu.
hawaoshi nywele wao ni mafuta kila mda mwisho wa cku mafuta yanashuka ndani sa ikifka mda wa usafi anasau kuosha. Walisababisha nkanunua machine kabla ya mda
 
Ulitaka kuzishika tu au kulikuwa na jambo la ziada?
 
Sio wote wanakatazwa, tunachozingatia zaidi ni aliyeshika Dini ya Allah,na awe Mwenye heshima na Mstaarabu
 
WEWE Zugaa Tuu...!!Ya Kwamba Ilikuwa Kidato Cha Kwanza Hukoo...Kumbe Ndio Umezishika Hivyo,,,Hadi Unaandika Kimipagawisho,,,Umechachawa Vibaya Mnoo...###KataniOyeehh###In Hon:Makongoro Nyerere's Voice.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom