Nani amewaambia Rais Samia, ndiye Rais 2025?

Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
Aliyetuambia Rais Samia, ndie Rais 2025 ni wale walamba asali aliowateua ili wamlinde kwa madhaifu yake .
1. Shaka
2. Makamba
3. Nape
4. Riziwani
5. JK
6. Kinana
7.wabunge wote wa ccm waliopita bila kupingwa
Ila kanda ya ziwa wameandaa mgombea mzuri na atatuvusha iwapo ccm wataprint fomu nyingi za wagombea
 
Tangu lini Kanda ya ziwa ikaandaa mgombea urais??

Tanzania ni Nchi moja yenye Kanda nyingi, mikoa na wilaya. Utaratibu ufuatwe Kwa maslah mapana ya nchi.
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
Chawa wamekusikia
 
Kwanza sina sifa za kuteuliwa maana mimi sitegemei vyeti na madarasa ku earn life so sipendi mje kuleta mataahira wengine watuvurugie biashara..
So sitafuti uteuzi popote.
not "earn life"
ni earn a living.
kwani ni lazima utumie lugha ambayo uhifahamu ?
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.

Kwa sisi ma kamisaa kuna kitu kitatokea hakuna mtu hataamini maana hela ya mtu inaliwa kwa kigezo cha (tunakufikiria dogo fanya kazi)huku akimwaga mi hela ila hapo kwenye mchakato kitakachotokea ni kile cha lowasa alafu mtu mzima huyu (ambae kwa sasa haongei hata ni kama hayupo)ila huyu mtu sasa endapo atafanikiwa (kama alivyokipanga) sasa wale wabaya wake wote watahama nchi.yaani ni kama magu alivyoingia baadhi ya walokuwa wabaya wakalala mbele.noamba niishie hapo.
Ngoja nipulize dawa ya mbu chumbani kwanza
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
Wanajua NEC ni CCM hakuna namna
 
Back
Top Bottom