Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,068
- 2,457
CCM hata wakimkataa Mzanzibari kuwa mgombea wao wa 2025 hawatonyamazisha kelele za wananchi za kutaka katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, demokrasia, kupunguza hali ngumu ya maisha, na mengine mengi. Huyo mwengine atapewa muda wa honeymoon halafu wananchi wataanza kulalamika tena.