Nani amewaambia Rais Samia, ndiye Rais 2025?

Mungu aweze kutupa uhai tuifikie hyo 2025. KURA NYINGI SANA TUTAMPA MH. SSH ✅, ili aweze kumalizia ungwe ya mwisho, mpaka Sasa ameshaonyesha utumishi uliotukuka.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Eti Symbion walishalipwa kimya kimya.

Nchi hii viongozi hawana HOFU kabisa.

Yaani watuibie ndipo waje kutununua Kwa pesa zetu walizotuibia!!!!!

Yaani tunafanyiwa Yale ya kitimoto, tujikaange Kwa mafuta yetu wenyewe😠😠

HAKIKA, Kila ubaya utalipwa.

Ameeeen.
 
Anza kumfikiria wa Kumrithi mwaka 2030, ila kwa wenye Akili tunajua kuwa 2021 hadi 2025 Rais ni Yeye ( Deiwaka ) akimalizia Awamu ya Pili ya aliyekuwa 'Boss' wake Hayati Rais Dk. Magufuli, ila kwa mwaka 2025 na Yeye sasa anagombea kama Yeye Ili ajijengee Heshima na Historia zaidi na kwa Mfumo wa Uchaguzi na Siasa za Tanzania ni kama vile ameshakuwa Rais hata kabla ya hiyo 2025.
Well said but no comment because I'm not member of ccm elite. But expect unexpected may be.......
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
Mimi hisia zangu zinasema Benard Membe atakuwa mgombea kiti cha urais kupitia ccm
 
Sawa Mkuu but hujajibu swali who told you? While unajuwa kabisa mchakato unavyokuwa? Hamuoni mnatengeneza giza mbele kwa mambo bado hayajawa wazi?
Ukisoma bandiko hili Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Nimeishajibu kila kitu!. Kwavile hii inahesabika ni awamu ya kwanza yake ya kwanza, kwa utaratibu wa CCM, midway huwa hakuna mchakato, ni inatolewa fomu moja tuu ya pekee kwa mgombea mmoja tuu wa pekee kwa urais wa JMT na fomu kwa mgombea urais wa SMZ.

Humo nimeshauri yeye asisemeseme tena kuhusu 2025 wala watu tusisemeseme kuhusu 2025 tusije tukamponza kama tulivyomponza yule naniliu na alivyojiponza.

Pia nikashauri, kwa vile viongozi wetu hawaijui karma, tuwaelimishe kuhusu karma and protect this nice lady kuhusu karma. Mimi kwa vile naijua karma, nimeisha anza kumprotect mfano wa protection yangu ni huu Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Awamu ya kwanza ya nini? Inahesabika hivyo na nani? Hii ni ngwe ya pili ya awamu ya tano ambayo mchakato ulifanyika 2015 makada wakachujwa akapatikana JPM na midway (kama ulivyoita wewe) kwa maana ya 2020 mchakato haukufanyika. Unless otherwise ccm wanataka machafuko hiyo 2025 kwa kuwalazimishia wananchi mtawala wasiyemtaka
 
Mkuu BakiliMuluzi , rais akifa madarakani chini ya miaka 2 na nusu ndani ya awamu yake, then awamu yake ndio inakuwa imeishia hapo, VP anapompokea anaanza na awamu yake ya kwanza. Hiki ndicho kilichotokea kwa Samia. JPM alipochomoka, awamu yake ya pili ndio imeishia hapo kwa serikali ya awamu ya 5 kukatika na awamu ya kwanza ya Samia na serikali awamu ya 6 imeanzia hapa na sio kuimalizia ile awamu ya 5. Ndio maana tulimshauri PM Majaliwa ajiuzulu ili kumpa Mama fursa ya kusuka kikosi chake. Kama angehitajika, angeteuliwa tena!. Hivyo sasa hii ni awamu ya kwanza ya serikali awamu ya 6, awamu yake ya pili ni 2025- 2030.

Kama JPM angechomoka baada ya miaka 2 na nusu, hapo ndipo Samia angeingia kumalizia awamu ya pili ya JPM, na 2025 yeye Samia ndio angeanza awamu yake ya kwanza!.

Tafadhali nielekeze mahala panaposema hivi kwenye katiba yetu, asante.
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
ukiconnect na uzi wa pasco utapata jibu.let wait n see.
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
SHAKA na MAJALIWA wamesema Mama mpaka 2030
 
Back
Top Bottom