The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Sera zipi?
Sera zenyewe ni hizi ,hatuporwi pesa zetu,
Hatufilisiwi,mikopo iko bwerere tena sekta ya kilimo ni 9%,
Kazi za ukandarasi saizi ziko nyingi Rais kaongeza bajeti na kaondoa upuuzi wa force account,
Ajira saizi ni bwerere ko walaji wanaongezeka na biashara zinatembea,
Biashara zimeanza kufufuka,
Rais hafungi mipaka na Kwa hiyo wakulima tunanufaika..
Yaani mambo ni mengi nitajaza Seva za jF bure.
Soma hiyoo 👇