Nani amewaambia Rais Samia, ndiye Rais 2025?

Mkuu hutaki, 2025 tunasimama na mama mitano tena.
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
Kwa mujibu wa taratibu wa CCM, Samia ndie mgombea pekee wa urais wa JMT uchaguzi wa 2025, na precedence ya chaguzi za Tanzania, mgombea urais wa CCM ndiye rais.

Hivyo wale wote wanasema Samia ni rais 2025 they are very right unless sauti hii ni kweli Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Hatuto lala Hata Mungu atakapo jibu maombi yetu wa Tanzania. Magufuli ameondoka na pengo lake halitoweza zibika milele ila hakuondoka kama kibudu. Hivyo is up to you na wazo yako. Kindly usituvuruge na usinivuruge hili Taifa lina mambo mazito sana kutekeleza na hatupaswi kuongea juu ya ukabila, udini au jinsia ktk ongoza hili Taifa ni mtu mjinga ndio anaweza ongea mambo hayo kama Taifa tunahitaji mtu atakaye weza tuvusha hapa pasipo kujali dini,kabila au jinsia yake so elewa swali sio siasa hii?
Napia nakuhusia uwe na hofu na Mungu sidhani kama kila kitu kina hitaji comment after all either nikwa nia njema au mbaya unaweza ukawa unaharibu.
 
Awamu ya kwanza ya nini? Inahesabika hivyo na nani? Hii ni ngwe ya pili ya awamu ya tano ambayo mchakato ulifanyika 2015 makada wakachujwa akapatikana JPM na midway (kama ulivyoita wewe) kwa maana ya 2020 mchakato haukufanyika. Unless otherwise ccm wanataka machafuko hiyo 2025 kwa kuwalazimishia wananchi mtawala wasiyemtaka
Hili ni jepesi sana kueleweka hata kwa mtoto wa darasa la kwanza, lakini sijui kwa nini wengi hawataki au wanajilazimisha kutokulielewa! Tuko awamu ya 5 term ya 2 ambayo Rais aliyechaguliwa alifariki na hivyo Makamu wake aka-take over. So, kama akigombea 2025, hiyo ndo itakuwa awamu yake ya kwanza halafu 2030 atagombea tena awamu ya pili (kama wajumbe wakiridhia lakini).
 
Hatuto lala Hata Mungu atakapo jibu maombi yetu wa Tanzania. Magufuli ameondoka na pengo lake halitoweza zibika milele ila hakuondoka kama kibudu. Hivyo is up to you na wazo yako. Kindly usituvuruge na usinivuruge hili Taifa lina mambo mazito sana kutekeleza na hatupaswi kuongea juu ya ukabila, udini au jinsia ktk ongoza hili Taifa ni mtu mjinga ndio anaweza ongea mambo hayo kama Taifa tunahitaji mtu atakaye weza tuvusha hapa pasipo kujali dini,kabila au jinsia yake so elewa swali sio siasa hii?
Napia nakuhusia uwe na hofu na Mungu sidhani kama kila kitu kina hitaji comment after all either nikwa nia njema au mbaya unaweza ukawa unaharibu.
Well said Sir.
Much respect to you.
Wazalendo kwa Taifa hili daima wataendelea kulipigania, no matter what happens to them.
 
Ukiagalia kwa jicho la tatu mkulu amechoka kuwa alipo so mwambie mama mdogo aache hizi sarakasi. Anatumika bila kujitambua.
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.

Tukipata katiba nzuri ni bora sana kuliko nani ni Raisi. Kama wewe ni mzalendo pigia kampeni katiba mpya
 
Aisee kwa jins huyu mam anavyo taka Zanzibar iweje yuko tayari kusalia madaraka kwa gharama yoyote
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
Hao unaowasema kama mfano hawajawahi kuwa Marais,Samia ni Rais tayari.

Nasubiria Kwa hamu sana hiyo 2025
 
Hii michezo michafu ndani ya ccm huenda ikasaidia tupate mabadiliko ya kweli.
 
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.

Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.

Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
Who tord you my fellow chawa je hamukumbuki Maneno ya Hayati Baba wa Taifa ktk moja ya secret meeting zidini kuupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom