Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,547
- 5,938
.
Wazee wa Nukta
Ndo tuna-subscribe hivyo Mkuu.Wazee wa Nukta
Labda anamaanisha anayekuja ni Mhaya!HAYA Ndie ajaye..
maanake nini mtoa mada!?
Inawezekana sasa huyo mhaya atakuwa ni nani?Labda anamaanisha anayekuja ni Mhaya!
NapitaIgwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.
Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.
Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
Umefukua kaburi yakheeeNapita
Huyo mhaya ndo nani?Labda anamaanisha anayekuja ni Mhaya!
Ndio maana katumia njia haramu kuwa mgombeaIgwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.
Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.
Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.
Mkuu ulitaka kusemajeIgwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.