mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,007
- 1,919
Utakuwa unaishi Kwa kutegemea shushu za serikali ndio maana unasema alifanya mazuri mengi..Unakemea matusi na unatukana wakati huo huo!!!!
Magufuli hv aliwakosea nn, mbona alifanya MAZURI mengi sana Kwa Nchi kuliko mabaya??
Matching guy husema walipeta sana enzi za mjomba.Utakuwa unaishi Kwa kutegemea shushu za serikali ndio maana unasema alifanya mazuri mengi..
Kwamba wewe ulikuwa unakula raha ndio maana zile kelele za biashara kufa,watu kufanga maduka hazikukuhusu.
Panya huwa anang'ata huku anapuliza, ukija kushtuka kisigino kimeishaMchakato upi TUMAINEL, Si wameshasema litachapishwa Jina moja tu???
Sasa Watatubu vp mtumishi wasipoambiwa UOVU wao waziwazi??Nyamaza mbona hutaki kunisikia , endelea kuhubiri watu watubu achana na vuvuzela na vipofu wasioona
Ni kweli kabisaa Mtumishi ngoja wasubiri adhabu tu hakuna namna mwenye kusikia naimani kusikiaSasa Watatubu vp mtumishi wasipoambiwa UOVU wao waziwazi??
Lazima waambiweRUSHWA, WIZI, UBADHILIFU, UNAFIKI, UFISADI ni DHAMBI ndipo wageuke na kutubu??
Wauze tuu kwani kuna kama inaleta Pesa hakuna shida.Hao unaowasifia Kwa kuleta UCHUMI ndo wameuza Loriondo na Ngorongoro, Ufisadi ulokithiri na wameshauza visiwa kadhaa huko Zenj!!!
Hao unaowasifia Kwa kuleta UCHUMI ndo wameuza Loriondo na Ngorongoro, Ufisadi ulokithiri na wameshauza visiwa kadhaa huko Zenj!!!
Mkuu kama wamejaribu 2020 kushika sharubu za wananchi na wakafanikiwa, wewe huoni kuwa hawa wameota mikia sasa,wanaona Unyama unawezekani kwenye nchi hii??Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjuwa na ndie Rais wa sasa wanao sema maneno hayo ni viongozi wakisiasa na serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.
Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho nakutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjuwi mchakato.... Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehem na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowasa nk wangekuwa wameshakuwa Marais... Ila Haya ndie ajaye.
Kwa nini nisihame,na naishi mikoa ya Mipakani,nahamisha biashara sihami Nchi..Ajaye aweza kuwa mjamaa kindakindaki haswaaaa! Je, utahama nchi?
-Kaveli-
Kwa nini nisihame,na naishi mikoa ya Mipakani,nahamisha biashara sihami Nchi..
Hata awamu ya Mwendazake nilihamiaha Biashara.
Wala usijari ntahamisha kuliko kuwapa jasho langu failures kama nyie na watu wenye akili ndogo.Jiandae kuhamisha tena.
Akiguswa huyu ndugu yako katika imani basi mqtakle yanaanza kupwita ila kila siku humu unamwita Magufuli mpumbavu na unachekewa tu!Mods huyu mtu amekuwa akitukana live Rais lakini hamchukui hatua..
Mimi wa Njombe najuwaje na Imani na Waislamu?Akiguswa huyu ndugu yako katika imani basi mqtakle yanaanza kupwita ila kila siku humu unamwita Magufuli mpumbavu na unachekewa tu!
Mimi wa Njombe najuwaje na Imani na Waislamu?
Sikumbuki.kama Njombe kuna hata msikiti..
Siko hapa kwa ajili ya jinsia zenu,Imani Wala mahaba niko hapa kwa ajili ya sera za Uchumi na biashara.
Ushabet tayariIgwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.
Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.
Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.