Katiba iko wazi tusiwe tunajadili mambo yaliyo nje ya katiba siku moja tunaweza kupanda mbegu mbaya watu wabaya mwishoe wakainajisi.Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Kabisa wanambadilishaSa mia ni mtu wa haki ila washauri wake wenda wana roho za kikatili.
Mama samia, Allah amjaalie umri mrefuWewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Uko sahihi Kiongozi....Ni bahati mbaya sana huyu mama haikuwa imedhamiwa kungetokea la kutokea ila baada ya kutokea lililotokea kulikua hakuna namna katiba ifuate.
Lile tukio limekua darasa la kutosha kwetu , tena darasa lililo na garama kubwa mno, tena bado tunaendelea kufunfishwa miaka mitano inayo futa kwamba katika kuwaza nafasi ua urais makamu wake azingatiwe sana , maana sisi ni binadamu hatuna mrefu wala mapana juu ya uso wa dunia.
The worst part ni JPM did not know he had a pure enemy Just right to his nose.Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Kama nina choice 2 tu kati ya kunyongwa au kumpa huyu kura yangu, basi nitachagua kunyongwa, tena bila kufikiria mara mbili mbili.Tundu lissu
Huchagui nani anafaa kuongoza (kwenye kifo cha rais)baada ya kifo cha rais.Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Sahihi kabisa. I think hii nafasi huwa walikuwa wanaichukulia poa sana. Utaona wanaitoa kwa just kudumisha Muungano na sio kwa competency ya mtu anaeweza kuja kusimama baada ya RaisHuchagui nani anafaa kuongoza (kwenye kifo cha rais)baada ya kifo cha rais.
Unachagua nani anafaa kuongoza kabla ya kifo cha rais, halafu unamuweka huyo mtu kuwa mgombea mwenza wa rais, anakuwa makamu wa rais.
Kikatiba anayekuja kuwa rais baada ya kifo cha rais ni Makamu wa Rais, bila kujali nani anafaa.
Unazungumzia Kajitabu tu ? « watanzania wangapi wnaelewa katiba » , kama kuheshimu mngeheshimu vitabu vya dini…… hako kengine ni kajitabu tuKatiba iko wazi tusiwe tunajadili mambo yaliyo nje ya katiba siku moja tunaweza kupanda mbegu mbaya watu wabaya mwishoe wakainajisi.
KabisaHuchagui nani anafaa kuongoza (kwenye kifo cha rais)baada ya kifo cha rais.
Unachagua nani anafaa kuongoza kabla ya kifo cha rais, halafu unamuweka huyo mtu kuwa mgombea mwenza wa rais, anakuwa makamu wa rais.
Kikatiba anayekuja kuwa rais baada ya kifo cha rais ni Makamu wa Rais, bila kujali nani anafaa.
Yes.Sahihi kabisa. I think hii nafasi huwa walikuwa wanaichukulia poa sana. Utaona wanaitoa kwa just kudumisha Muungano na sio kwa competency ya mtu anaeweza kuja kusimama baada ya Rais
Wewe hujawai kudanganya vipi kama Walimficha majaliwa alikua hajui lolote unamlaumu kwa kipi?Huyu si ndiye alidanganya tena akiwa msikitini kuwa JPM yuko fit anachapa kazi wakati akijua kuwa alishaded?
Umeng'ata na kupuliza at the same! 😃Hili sio swali halali, tunaongozwa na katiba, likitokea lolote kwa presidaa, VP anachukua, hakuna hoja ya nani anafaa.
Hoja ya msingi ni kuna Watanzania wengi tuu, ambao ni presidential material, who would have made a better presidents than What we have had, lakini kufuatia utaratibu wetu wa kupata wagombea urais, we dont go for best, tunatafuta nani ni mwenzetu ukijumlisha na kanuni ya mserereko, watu hawajitokezi, na Rais Samia ni mpango wa Mungu kuupata urais kwa kudra yake, JPM asingechomoka, CCM isingesimamisha mgombea mwanamke hata mara moja!., kwa Samia imetokea tuu, hajaomba wala hajasailiwa, October tunakwenda kumpa.
P
Very right brother.JPM was sick na mara nyingi alikuwa anapata shida but was kept’confidential…… jamaa walipaswa kuona risk ahead. Walikuwa blinded na mambo ya Muungano wakati ile ni nafasi kubwa needs competent person na sio nafasi kwa ajili ya kudumisha muunganoYes.
Mat9keo yake Magufuli kafa, wakaanza kumuwekea figisu Samia asiwe rais, wakati walimuweka wenyewe.
Hapo ndipo utajua hii nchi ina watu wajinga.
Magufuli alijulikana kuwa ana matatizo ya moyo tangu akiwa chuo kikuu. Watu waliosoma naye wamemchangia akapelekwa Uingereza kwa matibabu na masomo. Jili jambo si siri.
Kwa hivyo ilijulikana huyu mtu anaweza kufariki madarakani. In fact kila mtu anaweza kufariki madarakani ila kwa Magufuli chances zilikuwa kubwa zaidi kitokana na matatizo yake.
Still wakamuwelea VP wa mapambo.
Halafu VP anaenda kuwa rais wanasema hajapata urais kihalali.
You do not know him , He is Intelluel bu no side . He is Neutral GuyUmeng'ata na kupuliza at the same! 😃