Nani aliamuru jengo la bunge Dodoma kujengwa uswahilini

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,039
35,918
Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale. Hakuna parking ya kutosha, magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio

Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa Makole huku wanafunzi wa CBE na vurugu zao.

Mapori yote ya Dodoma mkakosa kukamata hata ekari kumi sehemu tulivu.

Kongole JK kupeleka UDOM sehemu sahihi.
 
Tembea ujionee. Ukifika Nairobi ukaonyeshwa sehemu ya mabunge yao (National Assembly & Senate, Upper house) ilipo unaweza kulia. Infact hiyo senate walikua wanafanyia ukumbi wa kukodi, KICC. Jengo lilipo si hoja.
1. Cheki Ofisi ya CHADEMA ilipo unaweza kuzimia.
2. Angalia ofisi ya Mullah ZZQ full uswazi.
3. CUF ya prof je?*

NB: Watu wana familia zinawategemea Mambo ya majengo yatawafaa Nini? La muhimu pesa inaingia daily

chazleeofficial_20210130_183854_0.jpg
 
Tembea ujionee. Ukifika Nairobi ukaonyeshwa sehemu ya mabunge Yao (National Assembly & Senate, Upper house) ilipo unaweza Julia. Infact hiyo senate walikua wanafanya ukumbi wa kukodi, KCC.
Hao naweza kuwatetea Nairobi kupata ardhi tupu inaweza kuwa changamoto ila sio Dodoma, jengo zuri nafasi finyu, location pia sio sahihi
 
Tembea ujionee. Ukifika Nairobi ukaonyeshwa sehemu ya mabunge Yao (National Assembly & Senate, Upper house) ilipo unaweza Julia. Infact hiyo senate walikua wanafanyia ukumbi wa kukodi, KCC. Jengo lilipo si hoja. Cheki Ofisi ya CHADEMA ilipo unaweza kuzimia. Angalia ofisi ya Mullah ZZQ full uswazi. CUF ya prof je?
Ushafika na kuona Westminster wewe. Ushaona downing street number 10 weweee?

Chadema hatupendi makuu.

Kammmmonnn!

Sky Eclat
 
Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale
Hakuna parking ya kutosha,magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio
Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa makole huku wanafunzi wa cbe na vurugu zao
Mapori yote ya dodoma mkakosa kukamata hata ekari kumi sehemu tulivu
Kongole JK kupeleka UDOM sehemu sahihi
Mkuu magari ya wabunge kuwa nje ya jengo sio kwamba parking haitoshi bali bunge lina wabunge wengi bila sababu, futa viti maalum wote, Zanzibar itoe wabunge nane na bara itoe wabunge 70 tu
 
Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale
Hakuna parking ya kutosha,magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio
Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa makole huku wanafunzi wa cbe na vurugu zao
Mapori yote ya dodoma mkakosa kukamata hata ekari kumi sehemu tulivu
Kongole JK kupeleka UDOM sehemu sahihi
Uswahilini ndipo kwenye Watanzania halisi. Wa kipato cha chini. Wabongo haswa.
Ulitaka wajenge Uzunguni?!
 
Back
Top Bottom