sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Waliopo wanatosha nyie wengine rudini kundini bana...:A S 39:
Hilo kundi lingine siliwezi...bora kundi hili..
Waliopo wanatosha nyie wengine rudini kundini bana...:A S 39:
Kiukweli hapo kuchomoka inakuwa ngumu...mbe tujifunze kwa wenzetu tu...
Teh teh deny it!!Mentor kuniweka kundi moja na Vin Diesel kwa kweli ni hatari sifanani kabisa mbe!
Mwambie Nicas akipona hapo akatoe sadakana kuokoka kabisa aache uplayer wake
Nafikiri wewe Mentor na Vin Diesel mnafaa kundi moja silent killer
one goal for the road!!
Zipu yake haina break au huwa haifungwi iko wazi muda wote
Hebu nitetee best yangu....
acha nikutetea bestito
hivi kwanini mnamuwekaa eneo hilo nyeti ambalo mwenzenu
yeye si wa huko? hamjui kuwa huyu amebemendwa na kinda?
hamfahamu kuwa kitu kimtokacho mtu ndicho kimuingiacho?
sasa kwanini mnamlegeza mwenzenu sehemu isiyo husu?
hebu wewe mentor mtoe eneo hilo huyu si wa huko.
Mentor kuniweka kundi moja na Vin Diesel kwa kweli ni hatari sifanani kabisa mbe!
Mwambie Nicas akipona hapo akatoe sadakana kuokoka kabisa aache uplayer wake
Nafikiri wewe Mentor na Vin Diesel mnafaa kundi moja silent killer
hadithi inasikitisha,,,,,,,,,,,,,,
ila tatizo kaugonjwa kenyewe ulipowekwa ni kimitego kimitego..........
Na kutumia ndom wakati mwingine hainogi.
....ahhh, Mentor umempaaamba huyo jamaa lakini 'pleya' gani anaogopa kuumia?
Amateur tu huyo, .....1st Aid ya "kwanza" ni kukimbilia kukoga
kama #JacobZuma vile...
eeeh....naona umeshusha dozi nzito sana...sasaaaaa...ule mpango wetu vipiiiiiiii
Unaniharibia mipango yangu....shhhhh....
Story nzuri inafundisha! Maplayer sasa watakuwa macho!
Unaniharibia mipango yangu....shhhhh....
eeeh....naona umeshusha dozi nzito sana...sasaaaaa...ule mpango wetu vipiiiiiiii
mpango gani tena bestito nimeshasahau?
tuna get together party tarehe 26 dec hivyo
jiandae kwani watu toka arusha watakuja dar.