Nanasi Lililoozea Ndani...

Nanasi Lililoozea Ndani...

mjini msingi kiuno,ukishatendwa ndo byebye

Tumia hicho kiuno tu mdogo wangu tutakuimbia tu..

enhe Mungu wangu hii hadithi imenisikitisha..............nimejikuta natamani kulia kabisa


For real Mentor your such a great Mentor

And Mentor is really humbled Heaven on Earth.

Dr Chrispine akipatikana..........mwambie na mie nataka kupimamo.tena anipime

mwenyewe DR Chrispine sitaki mwingine

Cc: Asprin - kwa taarifa
Kaizer - fungua jalada la uchunguzi
 
Last edited by a moderator:
usiseme hivo nataka kweli niende kwa Dr Chrispine kujua status yangu........

Uzoefu unaonyesha, wanaojitosa kupimwa ni wale amabao walishawahi piga 'voda kwa voda', na vijistori vinavyoendelea mitaani kuhusu walio'voda kwa voda' nao vinatia shaka
 
Letasi lounge sipajui kabisa labda unielekeze business park pazuri ila sema watu wanaingia wengi pale ndo kitakuwa kizuizi hapo
Business park ni perfect kwangu...nadhani wamaanisha Letasi lounge.
Mnataka kuchukua pale nje au kule ndani.
 
Back
Top Bottom