Nanasi Lililoozea Ndani...

Nanasi Lililoozea Ndani...

mbona kaka yangu Erickb52 niko naye hapa bongo na leo nimetoka kuongea naye kwa:cell:
kuhusu ukumbi tumepata ukumbi wa business park kijitonyama ila tutafutie ukumbi miwngine kwani huu sio mzuri kiihivyo bestito niPM basi
Mpango ule wa kunipeleka kwa kaka yako Erickb52....hiyo get together itafanyikia ukumbi gani
 
Last edited by a moderator:
mbona kaka yangu Erickb52 niko naye hapa bongo na leo nimetoka kuongea naye kwa:cell:
kuhusu ukumbi tumepata ukumbi wa business park kijitonyama ila tutafutie ukumbi miwngine kwani huu sio mzuri kiihivyo bestito niPM basi

Business park ni perfect kwangu...nadhani wamaanisha Letasi lounge.
Mnataka kuchukua pale nje au kule ndani.
 
Mtambuzi, Asprin, Kaizer, Bazazi, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, Vin Diesel, TANMO na mabazazi wote...chungeni. Ikibidi sana hadi 'seal' itolewe kwa kinga.

BEWARE...AIDS IS REAL...
Mentor,
Umesomkeka kwa nguvu ya TANO
Kwa kweli huna haja ya kulasimisha k#tomb@
Iwapo Mwanamke anakataa jaribu kutafuta sababu
Sababu ya kukataa kwake ilhali anakutamani
Sio kutumia POMBE kufanikisha matamanio yako
Mvumilivu hula mbivu ingawa ukizidi hula zilizooza
Ingawa ni heri kumkosa mwanamke huyo kuliko kulazimisha
Kwanza wako wagapi Mentor?
Mbona wengi tu kina Kongosho, noella, cacico, Madame B etc.

TAKE CARE AIDS/SIDA/UKIMWI UPO JIRANI YAKO UNATEMBEA SAMBAMBA NAWE.

Bazazi ni Bazazi
 
Last edited by a moderator:
Hii stori umenifanya nimkumbuke jamaa yangu fulani...
 
Hii story imenikumbusha mabinti wawili walizaliwa hivyo wazuri sana kila nikiwaangalia nawaza vijana watakapo waona wanaweza kujizuia/kukataa...juzi napata taarifa mmoja amefariki inasikitisha
 
This comment has to go kwa hansard as the best ever comment from Bazazi.

Hii stori umenifanya nimkumbuke jamaa yangu fulani...

Tell us mkuu Tuko. Whats th story? Pengine watu. Wataamini...

Hii story imenikumbusha mabinti wawili walizaliwa hivyo wazuri sana kila nikiwaangalia nawaza vijana watakapo waona wanaweza kujizuia/kukataa...juzi napata taarifa mmoja amefariki inasikitisha

Cc: mwekundu..mkidhani nimetunga yangu msikilize Blaki Womani uishi maisha marefu mwanafunz wangu.
 
Last edited by a moderator:
enhe Mungu wangu hii hadithi imenisikitisha..............nimejikuta natamani kulia kabisa

For real Mentor your such a great Mentor
 
Last edited by a moderator:
Eti mamii huyo daktari anapatikana wapi. Kuna kabinti huku ndani nataka anisaidie kukapimamo. Ukaguzi umekuwa mgumu sana kwa haka kabinti.

Dr Chrispine akipatikana..........mwambie na mie nataka kupimamo.tena anipime

mwenyewe DR Chrispine sitaki mwingine
 
Back
Top Bottom