Namuogopa sana lizy!

Namuogopa sana lizy!

Baby,

I want to prove I love you
But that's the hardest part.
So, I'm giving all I have to give
To you... I give my heart.
 
Kwa yale ninayoyaona yanatokea kwa wengine ndo maana nakuwa makini sana. Yaani lazima nijiulize hii ikifika katika mikono ya Lizzy itapokelewa vipi!
Wala hata sitakosoa kitu...ntakusifia mpaka ushangae.
 
Mentor, this has really touched my heart.

Unajua nilikua nasema leo hata m2 akinianzishia Sredi silegea, Lakini naona Mentor unataka kubadili msimamo wangu.

Let me read it again.

Kha! kumbe we mrahisi hivyo? Nikimwaga mistari tayari unabadili msimamo? Hahahahaaa mentor jiandae kutemeshwa mzigo!
 
lizzy niko bize leo ila nakulike si utakuwa matron kwenye kitchen pat yangu?
 
Kha! kumbe we mrahisi hivyo? Nikimwaga mistari tayari unabadili msimamo? Hahahahaaa mentor jiandae kutemeshwa mzigo!

mtu mzima huwa sitishiwi nyau,
Ntakupiga mpaka demu wako akusahau,
tena kama vipi rudi shule we nyan'gau,
huniwezi kamwe, hata ukisoma nahau!!!

Viviani wangu, kirua kwenu afate nini
kila siku ukungu, na ndizi bila maini
nitakupiga marungu, utoke manundu kichwani
Mkirua mwombe Mungu, mwingine atakughani!!!!


hehehe...dedication to NN too.
 
Back
Top Bottom