Namuogopa sana lizy!

Namuogopa sana lizy!

Vivian,mtoa mada sio kweli kuwa anamuogopa huyu mtu ila there is something nyuma ya hii thread,mapenzi ni mojawapo lakini kuna mengi!Ambacho nina uhakika nacho ni kuwa ametumia lugha kivuli ila ana lengo lake!

Usisahau kuja Bilionaires club Ijumaa, nina Toti zako Mbili za Jack Daniels
 
Usiseme unaniogopa Lakini

Vivian nakuja na gia ambayo ni ya yale magari ya zamani zile fiat na scania sijui kama utachomoka hapo na sio siredi tuu na mambo mengine mbalimbali
 
Kweli Lizzy ni moto siredi ishafikia page ya tano na bado watu wapo tuu
 
Back
Top Bottom