Namuogopa sana lizy!

Enheee.....bora umetia timu, sipati picha huyu mtoa hoja atakavyokuwa kachanyikiwa maana kaanzia pabaya. Analo!
Wee kijana hiyo lugha uliyomalizia ni lugha za kike vipi unaitumia wewe?
 
wewe ni gari bovu ndo mana unajua huwezi pata msaada kwa gari bovu lenzako. Unapotaka msaada kwenye magari mazima usijistukie we JaRIDA.
 
Mtazamo huu unaweza kuwa kweli lakini kuna wengine hawana mpango huo!

Hebu tuichambue hii Thread Criticaly!

Mleta mada anasema anapoandika thread anfanya auditing ya nguvu kwaajili ya Lizy tu,
Yaani anaogopa Lizy asione kama anaandika Pumba.

Hivi nyie wanaume mnavyo toka out ya mwanzo na Madates wenu, how many times do you look yourself in the Miirror?
When you see yourself in the mirror, unakua unamfikiria nani Muda huo?

Najaribu tu kijifanya namimi ni great thinker. lol
 
Vivian usinikumbushe all those good days
maana ukijua unaenda kwenye kidate ni balaa yaani unajiangalia mara kumi kumi kwenye mirror na kuhakikisha hakuna sehemu yoyote ambayo itatolewa kasoro. Unavaa nguo ambayo haitakutoa kasoro na kuhakikisha kuwa umependeza kukutana na mtu wako wa muhimu haswa kidate cha kwanza. ila baada ya hapo unakuwa mzoefu
 
Vivian,mtoa mada sio kweli kuwa anamuogopa huyu mtu ila there is something nyuma ya hii thread,mapenzi ni mojawapo lakini kuna mengi!Ambacho nina uhakika nacho ni kuwa ametumia lugha kivuli ila ana lengo lake!
 
Ukimpenda Lizzy utakuwa unajiumiza tu!! Midume yote JF inamkodelea macho!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom