Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Hahhahaha...baba nanii sasa ndio nini hivi?!mumewe nipo hapa,habari yako bwana mdogo!
Hahhahaha...baba nanii sasa ndio nini hivi?!mumewe nipo hapa,habari yako bwana mdogo!
Loh...kumhoji siwezi kwakweli maana ntashindwa kujizuia!Duh Lizzy ndo maana watu wanakuogopa wewe...Vipi unaweza muhoji Raisi wetu JK maana wewe anaweza kuelewa, short and clear
..and do ze nidful!!!
av bin hurt, hurt to the deepest core of my heart
hurt, hurt by them that make a competition of your heart
hurt, hurt that they don't know what lays in my heart
a yearning for your love,
a yearning for ur smiley curve,
a yearning for u my white,lil' dove!
Hujaelewa swali?!Unashangaa swali?!Au hujui jibu?!?!!!!!!????????????!!!!!!!
Edson achana na ka sista du hako kanatafuta umaarufu humu JF!
Loh...kumhoji siwezi kwakweli maana ntashindwa kujizuia!
Hujaelewa swali?!Unashangaa swali?!Au hujui jibu?!
Source kwa red mkuu bila source mhhhhhh Nyani Ngabu atabeba kifaa
Naaaah...mimi ni kwamba najiogopa!!kumbe wote wanamuogopa? Sisemi kuogopa eti anajua kujibu..lah...kumshushia Doctorate yake au Presedential tittle eeehhh.....
Siwezi kuelewa kwasababu haileti maana...tatizo la kisaikolojia ningekuelewa...pyschological problem ningekuelewa...tatizo la pyschology hueleweki...maana tafsiri yake ni kwamba psychology/saikolojia ina tatizo!huwezi kuelewa nilimaanisha nini niliposema tatizo la psychology....kuna post moja nimemsaidia mwenzio kinachomsumbua...
Siwezi kuelewa kwasababu haileti maana...tatizo la kisaikolojia ningekuelewa...pyschological problem ningekuelewa...tatizo la pyschology hueleweki...maana tafsiri yake ni kwamba psychology/saikolojia ina tatizo!
Siwezi kuelewa kwasababu haileti maana...tatizo la kisaikolojia ningekuelewa...pyschological problem ningekuelewa...tatizo la pyschology hueleweki...maana tafsiri yake ni kwamba psychology/saikolojia ina tatizo!
Itanisaidia nini nikirudi kusoma?!ABSOLUTLA MENTE NADA so ill pass!rudi usome post # 168.....endelea kuogopwa na wagonjwa
Nashangaa mshindi hakupewa zawadi...Namkumbuka St Ivuga na Mshindi wa yale mashindano 🙂
Hahahaha!!! NN umenikumbusha Mzee Yusuphjumma jumma Lizzy
Zawadi ipo .. natafuta jinsi ya kuiwakilisha tuNashangaa mshindi hakupewa zawadi...
Zawadi ipo .. natafuta jinsi ya kuiwakilisha tu
nimepigia mstariUna uhakika kama Lizy ni mwanamke? hii ni JF ya zaidi uijuavyo,......
hahahhEdson achana na ka sista du hako kanatafuta umaarufu humu JF!