MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,008
Kaka hao hawazungumzwi tena wamegeuza kijiwe cha story zingine!
JF offside nyingi sana, watu wanacheza nje ya uwanja. Inabidi refaree awe makini na hizi offmada.
Kaka hao hawazungumzwi tena wamegeuza kijiwe cha story zingine!
i really hate his ass,idont like him either,how can we knock him off?Wat up Yooo
Utakonda bure wewe!! Mtu mwenyewe hata hamuonani, embu jiamini kuanzia leo kukosolewa ndo mpango mzima ili upate kusugua kichwa vizuri!Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?
Wanaume kwa Ubunifu hamjambo. kila kukicha Paragraph ya Kuanzia inazinduliwa.
Ila nimegundua humu JF mwanaume akitaka kukutongoza anakuanzishia sredi.
Duh...! Hii nayo kali, imeniongezea tabasamu leo!Ha ha ha I like that Nyani maana majina huwa hayatafsiliwi, kama mfano huwezi kum-address Mr Bush kama 'Bw. Kichaka'.
Psychology ina matatizo tangu lini?!matatizo ya psychology mabaya sana.....tena sana basi tu.......
u sound like u are in love with her.....
no. comment!Psychology ina matatizo tangu lini?!
Una uhakika kama Lizy ni mwanamke? hii ni JF ya zaidi uijuavyo,......Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?
Umeulizwa....?!Una uhakika kama Lizy ni mwanamke? hii ni JF ya zaidi uijuavyo,......
Baby,
I want to prove I love you
But that's the hardest part.
So, I'm giving all I have to give
To you... I give my heart.
ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?
Umeulizwa....?!
JFkwa upupu? Sa Lizy ndo nani? Acha ujinga we kijana!