Namuogopa sana lizy!

Kuna mfukunyuku ( Heaven on Earth) mmoja ka-like comment yangu moja ya huku nikajikutamo humu.

Mkuu Rejao upo? Last time ulikuwa Jengo la Posta ukitupa habari za ndugu zetu walioandamana. Since then sijakusomaga kabisa mkuu!!!!

hahahaha....nipo mkuu, huwa nabip tu nakutoka. Majukumu ya hapa na pale yamezidi. Lakini kwa sasa nimepumzika kidogo. Kuanzia sasa utakuwa unaiona sana! Itabidi nikuombe uwe unanipisha pitisha kwenye majukwaa mbali mbali cuz naona kama vile kila kitu ni kipya, members wapya wengii...mpaka washakuwa wenyeji!!!!
 
Si useme tu unamtamani.

Una akili sana wewe!
Kusa jua janja yake!
Waswazi wana mistyle ya migear so-mchezo!
Wakati flani nilikua na Swahiba wangu mmoja , nae alikua ana individual seducestyle .
Mf. Akiona mpo sehemu kuna mademu kadhaa , afu demu mmoja kt ya hao kammaindi , utasikia anajisemesha , "mi Tabora siendi tena , nilipoendaga mwaka jana nikatembea na demu mmoja , basi huyo demu akawa ananitangaza kwa wenzie kua mie ni mkali kwenye gemu , basi mademu wengine wakawa wanajileta bure, nawatolea nje! Afu kiukweli mambo nayaweza sio siri"
Akili yake huyu jamaa ilikua anaowahadithia eti nao wavutike kwake .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom