Ni-PM basiii
Thanks Dadii!
Kaka hao hawazungumzwi tena wamegeuza kijiwe cha story zingine!Kweli Lizzy ni moto siredi ishafikia page ya tano na bado watu wapo tuu
una kazi kweli wewe? nani yuko hapa inakuhusu?
Vivian nakuja na gia ambayo ni ya yale magari ya zamani zile fiat na scania sijui kama utachomoka hapo na sio siredi tuu na mambo mengine mbalimbali
hahah tuheshimiane kijana...its not true at all.Ukimpenda Lizzy utakuwa unajiumiza tu!! Midume yote JF inamkodelea macho!
Mimeshasikia Ngonjera zenu zote!
1. Usiniombe No. ya simu
2. Usiniulize nafanya wapi kazi
3. usiniulize kama nimeshawahi kuwatch muvie fulani.
4. usinikaribishe kinywaji
5. Usiniulize nilisoma Chuo gani.
6. Usiniulize kama ninaye au nishawahi kuwa na Boyfriend.
7. Usinipe offer ya kunitoa out.
Tukitoa hivi vyote unakuja na gear gani?
mbona umemshushua jamani?una kazi kweli wewe? nani yuko hapa inakuhusu?
Something is goin on here!Let me do something!una kazi kweli wewe? nani yuko hapa inakuhusu?
Damn baby...that's kinda mean, you know!
unapenda zawadi gani?Mimeshasikia Ngonjera zenu zote!1. Usiniombe No. ya simu2. Usiniulize nafanya wapi kazi3. usiniulize kama nimeshawahi kuwatch muvie fulani.4. usinikaribishe kinywaji5. Usiniulize nilisoma Chuo gani.6. Usiniulize kama ninaye au nishawahi kuwa na Boyfriend.7. Usinipe offer ya kunitoa out.Tukitoa hivi vyote unakuja na gear gani?
Mimeshasikia Ngonjera zenu zote!
1. Usiniombe No. ya simu
2. Usiniulize nafanya wapi kazi
3. usiniulize kama nimeshawahi kuwatch muvie fulani.
4. usinikaribishe kinywaji
5. Usiniulize nilisoma Chuo gani.
6. Usiniulize kama ninaye au nishawahi kuwa na Boyfriend.
7. Usinipe offer ya kunitoa out.
Tukitoa hivi vyote unakuja na gear gani?
u cant do anything kwani matokeo ya form six aache umbeaSomething is goin on here!Let me do something!
Trying to see experts in changing CD. tired of listening to the same songs!
Something is goin on here!Let me do something!
dah i wish ungeniimbia mimi dah lizzy una bahati jamani uuuuuuuuuuwi?VIVIAN..
Missing you...
more and more each day
just seeing your posts
takes my breath away
one PM from u
would make everything ok
Always bin dreaming of you
and wish with me you'd stay
no words can express
how much I need you
how my love is so true
but i will spend this night
once again, missing you!!!!
Ndio hivo,umajuaje kama alikuwa anakusubria ww uanze amalize?dunia imebadikika hutumii mtu,mnatumianaTehee!! Kumbe huwa naovaluku