Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

Anaishi Dar huyu ticha. Alinifundisha hisabati O level
Hata mimi alinifundisha hilo somo 0 level, pia aliwahi nipa adhabu ya kuchimba shimo but Dar yuko wapi nimtafute nile nae kabia na nyama
 
Meta Sec Saizi inapumulia mipira, miaka ya 2008 kushuka chini Ilikuwa na wanafunzi wengi balaa. Kuna watoto wa Kihindi walikuwa wanaenda shule na magari
 
Meta Sec Saizi inapumulia mipira, miaka ya 2008 kushuka chini Ilikuwa na wanafunzi wengi balaa. Kuna watoto wa Kihindi walikuwa wanaenda shule na magari
Enzi hizo 2002 kurudi nyuma wahindi walikuwa wanahesabika tena ni mchanganyiko wahindi wasomali waarabu walikuwepo wa kuhesabika akina Faisal,Jambek.Arid
 
Enzi hizo 2002 kurudi nyuma wahindi walikuwa wanahesabika tena ni mchanganyiko wahindi wasomali waarabu walikuwepo wa kuhesabika akina Faisal,Jnn

Meta Sec Saizi inapumulia mipira, miaka ya 2008 kushuka chini Ilikuwa na wanafunzi wengi balaa. Kuna watoto wa Kihindi walikuwa wanaenda shule na magari
Nadhani shule karibia zote za jumuia ya wazazi,zinazidi kuporomoka,siasa zinachangia pia.
 
Ndio. Kazikwa Juzi. Msiba upo kwake Ikuti nyuma ya TAZARA Mbeya
Daah alale pema peponi mzee wa Bunsen Burner.
One day Mungu akinibariki nikija Mbeya nitajitahidi nifike home kwake na kaburini kwake.
Umesema nyuma ya Tazara. Nitajaribu kuuliza sijui kama anafahamika sana huko!?
 
Back
Top Bottom