Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,271
Reaction score
13,428
Jamani kama kichwa kinavyoieleza.

Namtafuta mwalimu mtefu mara ya mwisho nmeachana naye 2010 mwezi January yeye alikuwa anafundisha Meta sec school pale Mbeya somo la history.

Naomba kwa yeyote anayejua alipo au mwenye mawasiliano yake naomba anijuze.

Asanteni nawatakieni mabadiliko mema.
 
Jaman kama kichwa kinavyoieleza. Namtafuta mwalimu mtefu mara ya mwisho nmeachana naye 2010 mwez january yeye alikuwa anafundisha meta sec school pale mbeya somo la history.

Ahsanten nawatakien mabadiliko mema

Niliskia alishafariki ila sina uhakika,labda uende pale makongo ukamtafte katamba atakupa taarifa kamili ...
 
Jaman kama kichwa kinavyoieleza. Namtafuta mwalimu mtefu mara ya mwisho nmeachana naye 2010 mwez january yeye alikuwa anafundisha meta sec school pale mbeya somo la history.

Naomba kwa yeyote anayejua alipo au mwenye mawasiliano yake naomba anijuze.

Ahsanten nawatakien mabadiliko mema

mkuu huyu mwalimu ameshafariki. R.I.P Mtefu
 
Jamani kama kichwa kinavyoieleza.

Namtafuta mwalimu mtefu mara ya mwisho nmeachana naye 2010 mwezi January yeye alikuwa anafundisha Meta sec school pale Mbeya somo la history.

Naomba kwa yeyote anayejua alipo au mwenye mawasiliano yake naomba anijuze.

Asanteni nawatakieni mabadiliko mema.

huyu mtu nadhan yupo kama sijakosea
 
Nawakumbuka sana walimu wa meta enzi hizo,mtefu,kabuje(mwl wa hostel),job,mwigune,kimatare(ndege John,Mwakyulu(gari moshi),Mwahuti(kibaki)..boyfriend (huyu alikuwa mwl wa physical geography),katamba,babu wa GS,(ha ha ha stand up u foolish woman,.....enz ya kina njegite badae bukuku na yule head girl wetu wa kinyarwanda.
 
Umenikumbusha mbali sana unamwita 'mzee miwani' gari moshi.
 
Mbona hujamtaja john Mageta?

Ha ha mageta nilimsahau kabisa aisee,huyu mwakyulu nadhan alikuwa anafundisha Economics sie tulikuwa tunamwita gari moshi sababu ya kuvuta sigara kila wakati,hivi mageta c ndio walikuwa wanamwita chimpanzee?? Alikuwa ni Academic master au nimesqhau?
 
Ivi kumbe team Meta tupo kibao ha ha , mtefu kwa taarifa ni marehemu, yumbayumba mzee wa zitanyasha ni marehemu, landi mzee wa chemistry ni marehemu. Dah list ni ndefu wengi tulishawapoteza
 
Tumia lugja nzuri, sema si kweli, sio acha uongo. Watoto ninyi vipi? Jama una taarifa zingine toa

Hivi Landi c ndio alikuwa anakaa pale nje ya get kny kijumba karibu na hostel ya frm six wavulana?..mnamkumbuka baba Joshua? Na yule muuza chips wa forest kule karibu na kadeghe anaitwa Anania alikuwa anatuuzia chips maini
 
Mbona hujamtaja john Mageta?

We bujibuji nakufahamu wewe tena ulikuwa na urafiki na kina John Tanaki,c mmesoma darasa moja na kina perry zitatu ,koku,joy,rampage,happy mwakimi,mary matco(alikuwa nunda hivi jeshi la mtu mmoja hakuwa na rafiki),miriam mshana,.....unabisha??
 
Kumbe wa dau wa Meta mmejazana humu...Mtefu kweli amefariki....na babu upuyuu kwa walio soma History 1
 
Ha ha mageta nilimsahau kabisa aisee,huyu mwakyulu nadhan alikuwa anafundisha Economics sie tulikuwa tunamwita gari moshi sababu ya kuvuta sigara kila wakati,hivi mageta c ndio walikuwa wanamwita chimpanzee?? Alikuwa ni Academic master au nimesqhau?

japo simjui na hiyo shule siifaham but kwa sifa za huyo Mwakyulu nahisi ni huyu ninaemfaham ambae wakati nasoma pale Genesis High school alikuwa Headmaster.
 
Back
Top Bottom