Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

Duuh jamani kuna kijana anaitwa Nasibu Mdemu yeye alikuwa form two akichezea timu ya shule ya football namba 8 mwaka 1996/7 amefariki leo kipawa wanaoweza kwenda wawasiliane no. 0713211979 Rajabu. Huyo alikuwa anaishi hostel, tunaomba mtuwakilishe sisi tulio nje ya nchi.
 
Nawakumbuka sana walimu wa meta enzi hizo,mtefu,kabuje(mwl wa hostel),job,mwigune,kimatare(ndege John,Mwakyulu(gari moshi),Mwahuti(kibaki)..boyfriend (huyu alikuwa mwl wa physical geography),katamba,babu wa GS,(ha ha ha stand up u foolish woman,.....enz ya kina njegite badae bukuku na yule head girl wetu wa kinyarwanda.

Safi sana umenikumbusha hawa watu. Kuna Mwaigwisi mwaka '99 alitembezewa kichapo na wanafunzi assemble mchana kweupe, hivi sasa ni mchungaji..
 
mkuu huyu mwalimu ameshafariki. R.I.P Mtefu
Maskini Mtefu!!!!
Mwlm wangu Wa history!! Nilimwelewa vzr sana mtefu..

R. I. P mtefu
Alifariki nami niliambiwa kutoka kwa wadau wake wa karibu

Alishafariki tangu mwezi wa 7.

Ivi kumbe team Meta tupo kibao ha ha , mtefu kwa taarifa ni marehemu, yumbayumba mzee wa zitanyasha ni marehemu, landi mzee wa chemistry ni marehemu. Dah list ni ndefu wengi tulishawapoteza

Kumbe wa dau wa Meta mmejazana humu...Mtefu kweli amefariki....na babu upuyuu kwa walio soma History 1

Yeah ni sahihi kabsa jamaa alshafariki. R I P Mtefu kwangu source alkuwa Gwimile juu ya huo msiba
 
mtefu mwee kumbe alifariki yule (my dear bottle)... jaman alikuwa anafundisha majibu tu usipokuepo shaur yako..

Mng'ong'o yule mzee pia kafariki??? Khaaa jaman daaa...

Ila kimatale na nikikumbuka zile tofali khaaa sina hamu. Hata hivyo alikuwa mbishi kama nini ashapataga kashfa hajui kufundisha weee idd simba kuliwaka moto sio kwa fimbo zilee akasema wote mtafeli phonology .... ila yule mzee ndio maana hana mwili sijui saiv kama amenenepa
 
Alishafariki Yule jamaa,
alikuwa poa sana history two, alikuuwa anafundisha shule zaidi ya nane yule jamaa.

Aligawa tu siku japokuwa kuna siku zngine alikuwa Anaefundisha shule zaidi ya tatu KWA siku.
R.I.P MR MTEFFU
 
Safi sana umenikumbusha hawa watu. Kuna Mwaigwisi mwaka '99 alitembezewa kichapo na wanafunzi assemble mchana kweupe, hivi sasa ni mchungaji..
Hahahaaaa alikuwa anafundisha mathematics O level huyo kama sikosei enzi hizo.
Kuna mwingine alikuwa anaitwa mpwiniza ( master) sijui yupo huyu mtu naye?
 
Back
Top Bottom