Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,428
- Thread starter
- #41
Mwl mtefu akikuwa kiboko ya history two amenifundisha form five na six nikiwa nasoma Lutengano high school..mtefu mwee kumbe alifariki yule (my dear bottle)... jaman alikuwa anafundisha majibu tu usipokuepo shaur yako.. [emoji22][emoji22][emoji22]
Mng'ong'o yule mzee pia kafariki??? Khaaa jaman daaa... [emoji22][emoji22][emoji22]
Ila kimatale na nikikumbuka zile tofali khaaa sina hamu. Hata hivyo alikuwa mbishi kama nini ashapataga kashfa hajui kufundisha weee idd simba kuliwaka moto sio kwa fimbo zilee [emoji22][emoji22][emoji22] akasema wote mtafeli phonology .... ila yule mzee ndio maana hana mwili sijui saiv kama amenenepa
Alikuwa anapiga sana maji na kitimoto na alikuwa Mzee Wa totoz balaa..
Imeniuma sana mtefu[emoji24] [emoji24] [emoji24]