balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,154
Mtefu Alisha RIP kitambo.mkuu huyu mwalimu ameshafariki. R.I.P Mtefu
Mtefu Alisha RIP kitambo.mkuu huyu mwalimu ameshafariki. R.I.P Mtefu
Anafahamika. Ukiuliza utaelekezwa. Halafu we jamaa kama ndio Ras Jeff wa Mbeya ulichafua sana kuta za mji miaka ya 1990s katikatiDaah alale pema peponi mzee wa Bunsen Burner.
One day Mungu akinibariki nikija Mbeya nitajitahidi nifike home kwake na kaburini kwake.
Umesema nyuma ya Tazara. Nitajaribu kuuliza sijui kama anafahamika sana huko!?
bila kumsahau mwal. Simwaba na yeye alishafarikiMtefu Alisha RIP kitambo.
R.I.P Teacher LandiLandi pia amefariki wiki hii nadhani leo ndio amezikwa
Umemsahau Kitokesya Mzee wa vocabularies wa history watu A level combi za H nini nini hukoNawakumbuka sana walimu wa meta enzi hizo,mtefu,kabuje(mwl wa hostel),job,mwigune,kimatare(ndege John,Mwakyulu(gari moshi),Mwahuti(kibaki)..boyfriend (huyu alikuwa mwl wa physical geography),katamba,babu wa GS,(ha ha ha stand up u foolish woman,.....enz ya kina njegite badae bukuku na yule head girl wetu wa kinyarwanda.
The Mighty Simwamba, one among his products we live his legacy at some point he tuitioned me severally for freebila kumsahau mwal. Simwaba na yeye alishafariki
Daah Wazee wa Magoma, NATO, na White house na mademu zenu wa malezi hostel mabatiniYeah ni sahihi kabsa jamaa alshafariki. R I P Mtefu kwangu source alkuwa Gwimile juu ya huo msiba
Mabaharia wa forest ya zamani na Kwa kadege tupoAnafahamika. Ukiuliza utaelekezwa. Halafu we jamaa kama ndio Ras Jeff wa Mbeya ulichafua sana kuta za mji miaka ya 1990s katikati
Nilifuta baadhi ya maeneo hasa kwenye nyumba za watu na shule chata za kwenye mawe niliziachaAnafahamika. Ukiuliza utaelekezwa. Halafu we jamaa kama ndio Ras Jeff wa Mbeya ulichafua sana kuta za mji miaka ya 1990s katikati
Hahahaaa wakali tupo enzi hizo ulipo tupo ila sitaki kuweka codes mie nilikuwa mtoto wa kota kijana ya afandesNilifuta baadhi ya maeneo hasa kwenye nyumba za watu na shule chata za kwenye mawe niliziacha
Nani sio John kweli ww!!!? akina Mundundu unawakumbuka akina Zenji!?Hahahaaa wakali tupo enzi hizo ulipo tupo ila sitaki kuweka codes mie nilikuwa mtoto wa kota kijana ya afandes
Kadege Hostel, Forest ya Zamani ile Bar ya Sama Night karibu na RFA iligeuzwa HostelMabaharia wa forest ya zamani na Kwa kadege tupo
Naijua mitaa yote hiyo. RFA kwa Mzee Tousir kwa kina Abedi yep sure kilikuwa kituo cha Redio but ww utakuwa nani navuta code ukinitajia exactly eneo ulilokuwa unakaa au rafiki yako wa karibu nitakusomaKadege Hostel, Forest ya Zamani ile Bar ya Sama Night karibu na RFA iligeuzwa Hostel
Aaah mkuu kuna kuta za nyumba mitaa ya Forest ya Zamani zimepigwa sana chata. Mitaa ya Mwambusi,Memba na karibu na Cheki PointNilifuta baadhi ya maeneo hasa kwenye nyumba za watu na shule chata za kwenye mawe niliziacha
Mitaa ya chini kwa Meghji yule mhindi kwa kina Mwabulambo mpaka kwa Advocate nyumba aliyokuwa anakaa Balozi Katanga Kipindi anafanya Manispaa.Naijua mitaa yote hiyo. RFA kwa Mzee Tousir kwa kina Abedi yep sure kilikuwa kituo cha Redio but ww utakuwa nani navuta code ukinitajia exactly eneo ulilokuwa unakaa au rafiki yako wa karibu nitakusoma
Mwabulambo unamaanisha kwa kina marehemu Daudi Mwabulambo nyumbani kwao kulikuwa na kituo cha UMATIMitaa ya chini kwa Meghji yule mhindi kwa kina Mwabulambo mpaka kwa Advocate nyumba aliyokuwa anakaa Balozi Katanga Kipindi anafanya Manispaa.
Ndio,mitaa hiyo nyumba za chini inaanza ya Mama aliyekuwa Mahakama kuu inafatiwa ya Meghji kwa kina Salim&Salma mzee wao alikuwa na Land Rover 90 ya KijaniMwabulambo unamaanisha kwa kina marehemu Daudi Mwabulambo nyumbani kwao kulikuwa na kituo cha UMATI
mtaa wa chini...ule ulikuwa na mashine za kusaga za Mzee Materu!!??
Duuh aisee huo mtaa naujua vema sana. Dogo nahisi nitakuwa nakupata vizuriNdio,mitaa hiyo nyumba za chini inaanza ya Mama aliyekuwa Mahakama kuu inafatiwa ya Meghji kwa kina Salim&Salma mzee wao alikuwa na Land Rover 90 ya Kijani
Sawa kaka mkubwa, age mate wako ni wakina Unfresh FintoDuuh aisee huo mtaa naujua vema sana. Dogo nahisi nitakuwa nakupata vizuri
Sijui kama uliweza kukumbuka kila pahalaNilifuta baadhi ya maeneo hasa kwenye nyumba za watu na shule chata za kwenye mawe niliziacha