Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 604
- 952
Alifariki ghafla miaka ya kati ya 2005-2007.Umemsahau Kitokesya Mzee wa vocabularies wa history watu A level combi za H nini nini huko
Alifariki ghafla miaka ya kati ya 2005-2007.Umemsahau Kitokesya Mzee wa vocabularies wa history watu A level combi za H nini nini huko
Ile barabara kuelekea RFA inatoka Meta stendi barabara ya hostel Magoma khaa enzi hizoNaijua mitaa yote hiyo. RFA kwa Mzee Tousir kwa kina Abedi yep sure kilikuwa kituo cha Redio but ww utakuwa nani navuta code ukinitajia exactly eneo ulilokuwa unakaa au rafiki yako wa karibu nitakusoma
Alikuwa Mkali na kibesi Mzee wa kyela daah, vocabularies kama zote. Alikuwa ame expire akiwa Meta sijui kama wana walimfaidiAlifariki ghafla miaka ya kati ya 2005-2007.
Umeone eeh. Walimu wanaacha alama sana kwa wanafunzi. Wengi tuko na careers tulizo nazo kwa sababu ya walimu hao hao!Cheki walimu wanavoacha alama kwenye maisha yetu.....ila kuna mamtu humu kila dakika kutukana walimu kima kabisa
wewe ndo chata lako lilikuwa kichwa cha jamaa kaning'iniza kitu kama msalaba kwenye sikio au?Nilifuta baadhi ya maeneo hasa kwenye nyumba za watu na shule chata za kwenye mawe niliziacha