Namtafuta Baba yangu aitwaye Peter Matiko

Status
Not open for further replies.
ni vizuri kumtafuta mzazi wako,ila jiandae kisaikolojia unaweza usimpate,au ukimpata akaku reject,kama aliku shit ulivyokua mdogo anaweza kuku shit pia uko kubwa,sikukatishi tamaa ila jiandae...
Wewe umejuaje kama babake alimshit je kama mamake ndio alimfukuza /alimkataa babake ?
 
Duh, kwahio unamtishia au vipi, sasa kama sio kutaja jina angepataje msaada wa haraka zaidi ? Nawe ulivyo mjinga kwanini usingeenda tu inbox kwake ukampa taarifa ambazo zingemsaidia kumuona baba yake,? Na mbona unamtuhumu kua hana shukrani? Yani mtoto apoteze muda kumlea mama yake mzazi aliyemzaa na kumbeba miezi 9,? Au nyie mmezaliwa na mbuzi hadi kufikia kuona MTU anayetunza au kutafuta mzazi wake anaonekana mjinga, wewe kumfichia habari na kumtishia imekusaidia nini au itakusaidia nini wewe binafsi? Yani hapa ndipo ambapo naona watanzania wengi ni BOGUS kabisa...ukitafuta mzazi unaonekana labda unataka Mali za urithi, wengine wanataka tu maongezi na kumfahamu mzazi wake halisi, au wewe una share katika hio familia yake mpya unayojitapa nayo ..jitathmini na jifikirie kijana.
dah this is tz
 
Nenda taratibu na uongozwe na busara sana.

Hawa wanakuwaga na familia zao mpya wanazoishi nazo kwa sasa. Na unakuta huyo mbaba hajawahi kumwambia yyte (hata mkewe wa sasa) kama alishazaa huko nyuma.

Ukijitokeza ghafla baba anaweza kukukana fasta ili aonekane msafi kwenye familia yake mpya (hili nimeshawah kulishuudia laivu)

La muhimu fanya utafiti wa kina wa kichinichini ukianza na taarifa alizokupa mamaako na nduguzako wengine.

Binadam anapotea lakn taarifa zake hazipotei. Utazipata tu taarifa zake awe mzima au la.

Kubwa kuliko yooote usitegemee makubwa hata baada ya kumwona huyo mtu aliekutelekeza miaka yoooote hiyo hadi umekuwa mkubwa hivo.
 
Pia jaribu kutumia mifumo ya utambuzi ya kiserekali maana saivi iko mingi km taarifa za nida, leseni, namba ya mpigakura, necta, uko vyuoni...

Ila hakikisha unapata majina matatu maana uezekano wa watu kufanana majina mawili ni mkubwa mno.
 
shukran mkuu
 
sawa, japokua sijajua jinsi ya kulink na hiyo mifumo ya utambuzi
 
All the best mkuu. Ila jiandae kisaikolojia unaweza kukutana Halafu akakuignore na kutojali. Utajiskia vibaya Sana

Rafiki yangu alimtafuta baba yake for years akapata connection za family. Siku ya kukutana baba Hana habari Naye shikamoo marahaba hakuna za miaka mingi Wala Nini. He was so disappointed after that meeting hakuwagi mtafuta Tena and wish asingemtafuta. Kuna mzee ndio aliyemlea huyo ndo father figure kwake, Yuko so free nae kumweleza anything.
 
nashkuru
 
Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyote aliekulea mpaka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.

Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Baba mzazi na baba mlezi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti kabisa ni vyema amtafute baba yake hayo mengine yatakayo endelea baada ya kumpata wala tusiyapigie ramli chonganishi maana huwezi jua ukweli wa mama na baba kuachana na hasa ukisubiri maelezo ya upande mmoja.

Nakusihi tafuta baba mzazi ana radhi zake kwako mana umetoka maungoni mwake labda kama alikukataa maana kina mama hawa huwachonganisha sana watoto na baba zao hasa kama walitengana kitu ambacho hupelekea watoto kujaza chuki kwa wazazi wao wakati ukiupata ukweli ynakuta kosa ni mama
 
pamoja mkuu
 
Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyote aliekulea mpaka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.

Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Ushauri makini
1998 hadi leo baba hajamtafuta mwanae ni kwamba hamhitaji. Labda kama anataka tuu kumjua mtu aliyemtelekeza, kitu ambacho kinaweza kumsaidia huyo baba japo kujua makosa yake kama mzazi na kufanya upatano duniani kabla ya kurudi kwa muumba wake
Wakanda Prince
 
Mimi Kuna mzee jirani yangu anaitwa Edwin Peter Matiku, asili yake ni Mara (Chabakari ) tunacheza nae draft kijiweni alikuwa Dereva wa Malori na kwa maelezo yake ametembea mikoa mbalimbali kulingana na kazi yake ikiwemo huko Arusha ndio maana nimekuliza hata kazi yake.
Matiko sio matiku
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom