Namtafuta Baba yangu aitwaye Peter Matiko

Namtafuta Baba yangu aitwaye Peter Matiko

Status
Not open for further replies.
ni vizuri kumtafuta mzazi wako,ila jiandae kisaikolojia unaweza usimpate,au ukimpata akaku reject,kama aliku shit ulivyokua mdogo anaweza kuku shit pia uko kubwa,sikukatishi tamaa ila jiandae...
thanks so much, even simtafuti labda nahitaji msaada wake, hapana, niko kwenye hali ya uchumi wa kati ila huwezi jua huko alipo ana hali gani, huenda mimi kama mwanae nikamsaidia pia so rejection doesn't look like anything to me, kikubwa nijua either he's alive or not
 
Mtu anatafuta baba yake kuna vijimwanamke vinashupaza shingo kumshauri asimtafute kwa kufikiri kila mwanamke mwanamme wanapotengana na kushindwa kulea mtoto pamoja basi baba nd'o mwenye makosa.

Sometimes inaweza kuwa kweli mkosefu ni baba, na mara nyingine akawa mama. Na inawezekana kusiwe na makosa kwa yeyote yule ila mazingira yamelazimisha iwe hivyo.

Mtoto ana haki ya kumtafuta na kumjua mzazi wake aliepotezana nae no matter what.View attachment 1642464
😂😂 ..Relax
 
thanks so much, even simtafuti labda nahitaji msaada wake, hapana, niko kwenye hali ya uchumi wa kati ila huwezi jua huko alipo ana hali gani, huenda mimi kama mwanae nikamsaidia pia so rejection doesn't look like anything to me, kikubwa nijua either he's alive or not

haya mkuu..

all the best..

ila rejection is hard to deal with..

hata kama uko mkubwa...

again,all the best
 
Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyte aliekulea mpka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.

Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Tangu niingie fj huu ndio ujumbe konki kuliko
 
Mambo Vipi Naitwa Noel Matiko, namtafuta baba yangu aitwaye Peter Matiko, walipotezana na mama yangu aitwaye Omega Macha maeneo ya njiro arusha miaka ya 1998

Sikuwahi kumuona ningefurahi sana kupata taarifa zake, kama akipata ujumbe huu au kwa yeyote anayejua alipo anitafute kwa simu namba 0676238390

Natanguliza shukrani!
Watu wengine bwana,Sasa haya maelezo machache utasaidiwaje mkuu ?,elezea asili ya mzazi wako vizuri.mfano Kijiji, kata, tarafa, wilaya na hata kazi alillokuwa anafanya ili iwe rahisi. Muulize mama yako asili yake na kazi alillokuwa anafanya wakati huo.
 
Watu wengine bwana,Sasa haya maelezo machache utasaidiwaje mkuu ?,elezea asili ya mzazi wako vizuri.mfano Kijiji ,kata,tarafa ,wilaya na hata kazi alillokuwa anafanya ili iwe rahisi.Mulize mama yako asili yake na kazi alillokuwa anafanya wakati huo.
ningekua najua hivyo vijiji ningeshampata
 
Hayo majina ya matiko ni ya watu wa MARA..Wengi wako KITUNDA Kwa Dar
Ni kweli ila Matiko wanatumia Wakurya wa Tarime, wazanaki Butiama, waikizu wa nyamuswa na wangoreme huko maji moto pia waikoma. Hivyo lazima ajue anatokea sehemu gani hasa kwenye chimbuko. Huwenda jina moja ambalo halipo likawa linaelekeza zaidi
 
Hakuna cha ushauri konki wala nini? Tatizo mmeset negative mind, mnajua kitu kilichofanya wapotezane na mama yake? Mnakijua? Labda mama ndio alitoroka na mtoto.....

Kwetu tunasema asemaye peke yake hana haki, mpaka usikie upande wa pili. Uzuri mleta mada hajasema kitu kilichofanya wapotezane. So hatuwezi jua ni ugomvi au msukumo wa ndugu.

Nakupa mfano, mtu umempa mimba mtoto wa watu na hukumuoa. Baba yake akakasirika na kukwambia marufuku kumjua mwanawe na kiumbe kitakachozaliwa-na hii hutokea sana kwa familia tajiri mtoto wao akipewa mimba na mtoto wa masikini. Mwisho wa siku binti na mwanawe wanapotea kusikojulikana na huwezi kuwatambua tena waliko.

Je, mtoto atakayezaliwa hana haki ya kumjua baba yake?
Think.
Wewe..kila mtu afikirie vile anavyofikiria..unataka kuforce mawazo yako yafanane na yangu???!!..na ukikijua kilichofanya wazazi wake watengane inatosha..wazimu huu
 
ningekua najua hivyo vijiji ningeshampata
Mimi Kuna mzee jirani yangu anaitwa Edwin Peter Matiku, asili yake ni Mara (Chabakari ) tunacheza nae draft kijiweni alikuwa Dereva wa Malori na kwa maelezo yake ametembea mikoa mbalimbali kulingana na kazi yake ikiwemo huko Arusha ndio maana nimekuliza hata kazi yake.
 
Mambo Vipi Naitwa Noel Matiko, namtafuta baba yangu aitwaye Peter Matiko, walipotezana na mama yangu aitwaye Omega Macha maeneo ya njiro arusha miaka ya 1998

Sikuwahi kumuona ningefurahi sana kupata taarifa zake, kama akipata ujumbe huu au kwa yeyote anayejua alipo anitafute kwa simu namba 0676238390

Natanguliza shukrani!
Endelea kumtafuta mzazi wako hata kama una baba mwingine,, ila kumbuka mzazi wako atabaki kua mzazi wako tu,,achana na hao wanao kukatisha tamaa..Natumahi ukimpata utakua na furaha sana.....
 
Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyte aliekulea mpka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.

Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Dogo asilete jeuri achukue huu ushauri,

Kama hana shida has ya kutaka kuwezeshwa anahangaika nini badala amuwezeshe mama yake wapae uchumi wa kati kwanza,,,kisha taarifa zitamfikia huyo baba yake na atajileta mwenyewe.

Pia km ananjaa anahitaji kuwezeshwa asahau apambanie hali yake.

Au unahisi yule matiko wa bungeni atakuwa Dada ?yako???
 
Mambo Vipi Naitwa Noel Matiko, namtafuta baba yangu aitwaye Peter Matiko, walipotezana na mama yangu aitwaye Omega Macha maeneo ya njiro arusha miaka ya 1998

Sikuwahi kumuona ningefurahi sana kupata taarifa zake, kama akipata ujumbe huu au kwa yeyote anayejua alipo anitafute kwa simu namba 0676238390

Natanguliza shukrani!
Esta Matiko atakua ndugu yako
 
Dogo asilete jeuri achukue huu ushauri,

Kama hana shida has ya kutaka kuwezeshwa anahangaika nini badala amuwezeshe mama yake wapae uchumi wa kati kwanza,,,kisha taarifa zitamfikia huyo baba yake na atajileta mwenyewe.

Pia km ananjaa anahitaji kuwezeshwa asahau apambanie hali yake.

Au unahisi yule matiko wa bungeni atakuwa Dada ?yako???
duh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom