Wakanda Prince
Member
- Oct 27, 2019
- 83
- 112
- Thread starter
- #141
Shukran sana mkuuMkuu kwanza nikupe pongezi kwa kukumbuka hilo.
Damu ni nzito kuliko maji.
Mimi nitakusaidia kutuma meseji yako kwenye magroup mbalimbali,nina rafiki zangu wakurya watasaidia kumtafuta.
Usijali penye nia pana njia
