uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,935
Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyte aliekulea mpka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.
Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Yaani damu iliyo ndani ya huyu Dogo ndio ipo kwa Baba yake! Hata kama ni jambazi ana haki na ni vyema amtafute!
Baba ni Baba tu, na ana Baraka zake! Kwa hiyo usimkatishe tamaa Dogo, Mwache amtafute Baba yake!

