Namtafuta Baba yangu aitwaye Peter Matiko

Status
Not open for further replies.
Oct 27, 2019
83
112
Mambo Vipi Naitwa Noel Matiko, namtafuta baba yangu aitwaye Peter Matiko Nyamohanga walipotezana na mama yangu aitwaye Omega Macha maeneo ya Njiro Arusha miaka ya 1998.

Nimeambiwa baba yake (babu yangu) alikuwa mwanajeshi moja ya kambi zilizopo jijini DSM na ndio maana yeye naye alienda jeshini.

Sikuwahi kumuona ningefurahi sana kupata taarifa zake, kama akipata ujumbe huu au kwa yeyote anayejua alipo anitafute kwa simu namba 0676238390.

Natanguliza shukrani!
 
Last edited:
Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyote aliekulea mpaka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.

Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
 
Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyte aliekulea mpka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.

Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Ushauri konkiii
 
Kumtafuta mzazi wako uliyempoteza sii dhambi, na kwa wakati niliofikia sihitaji msaada kutoka kwake, huenda nikawa msaada kwake, relax!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom