mwanajamii mpya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 554
- 446
Kwani unateseka?Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyte aliekulea mpka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.
Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Nani katukana?Mkiwa JF muishi kwa heshima msije mkawatukana baba zenu
AmenINSHAALLAH UTAMPATA MKUU..KILA LA KHERI!!
Kwani unateseka?

hahha anaitwa Matiko?
hebu tueleze kidogo mkuu, huenda tukajifunzaUna ushuuda kama wangu ila nakuomba upotezee tu kama nlivyofanya mimi, Mungu wetu ni baba
Mama yako anajua alipo, ila kwa kuwa unashupaza shingo, endelea kumtafutaanasema nimtafute, thats why i do
Aimeambiwa alienda jeshini, after that he'd never return.Kwa nini usitoe details kama alikua anafanya issue gani hapo Arusha na alienda wapi baada ya hapo
nimeambiwa alienda jeshini, after that he'd never return
Akishamjua, then wat next?Tatizo si kupata chochote....dogo anahaki ya kumjua baba ake
MMJ ndio wapi huko mkuuMMJ wanasemaje kuhusu asikari mwenye jina hilo?
Thank You So Much!Mtu anatafuta baba yake kuna vijimwanamke vinashupaza shingo kumshauri asimtafute kwa kufikiri kila mwanamke mwanamme wanapotengana na kushindwa kulea mtoto pamoja basi baba nd'o mwenye makosa.
Sometimes inaweza kuwa kweli mkosefu ni baba, na mara nyingine akawa mama. Na inawezekana kusiwe na makosa kwa yeyote yule ila mazingira yamelazimisha iwe hivyo.
Mtoto ana haki ya kumtafuta na kumjua mzazi wake aliepotezana nae no matter what.View attachment 1642464
Ni haki yangu kumjua mzazi wangu, no matter whatAkishamjua, then wat next?
Hakuna cha ushauri konki wala nini? Tatizo mmeset negative mind, mnajua kitu kilichofanya wapotezane na mama yake? Mnakijua? Labda mama ndio alitoroka na mtoto.Ushauri konkiii
MMJ ndio wapi huko mkuu