Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.
Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.
Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.
Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.
Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
mrudiane......................................hujui ya kuwa kuna baby come back?
He needs you more than ever be4.........do not neglect him msaidie na umkarabafati arudi kundini..................................penzi lake hutalijuitia.......