Namsikitikia, He was my boyfriend

Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.
Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.
Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.
Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.
Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.

mrudiane......................................hujui ya kuwa kuna baby come back?
He needs you more than ever be4.........do not neglect him msaidie na umkarabafati arudi kundini..................................penzi lake hutalijuitia.......
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.Form six tulipo ingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao.Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
Hadithi ya kutunga, 100% uongo, how somebody with such pontential i am one of them afanye hivyo? Si kweli, lies, lies
 
nazjaz umepata ya kukutana aliyekuwa wako mpz,tafadhali jaribu kukumbuka uliofanya nae kipindi cha nyuma,yale mazuri yaliowafurahisha,unahaki ya kumpa msaada wa kimawazo mana umewai kuwekeza hisia zako kwa huyo ex wako.ukiwa unamalengo nae mana wanasema true love never die,naomba umlete Mirembe,nadhani ataweza hudumiwa vizuri na mpenz wako wa zamani atakua mpya zaid ya noti mpya.jambo la kukumbuka ni mazuri mangapi mmefanya nae?mambo mangap ya kielimu mmesaidiana? Mda uliowekeza hisia zako kwake? Majuto ni mjukuu,rudisha moyo nyuma,tafakari ... Chukua hatua.
 
nadhani sababu nyingine ya kua teja ni kulikosa penzi kama lako.try to gve him your (.) nadhani uteja utaisha
 
Yaani umepata Div One form 6, eti saa hizi uwe mpiga debe???? Napata kazi kuamini hii??
Tena kwa kombination ya PCB ambayo ina watu wachache balaa wanaoenda mchepuo huo??
Yaani kapata
  • Physics - A
  • Chemistry - A
  • Biology - B
Eti leo miga debe????
Hivi unajua kwa cheti cha Six cha kutisha namna hiyo unapata kazi ya maana kabisa ya kulipwa hela nzuri kabisaa, na tena ukiwa mjanja zaidi unapewa hadi scholarship kiulaini ya kwenda kusoma n'gambo kiurainiiiiii???
Kudadadadadadadadadadeki . . . . . .
Kwani Uteja ni hautibiki . . .
Kama kweli unayosema hayo we Nazjaz, nipe Jina lake kamili, picha yake ilete hapa then mi nitafanya mpango wa kumuendeleza.
Am serious, weka hizo identity zake hapa au ni PM.
 
hiki kisa ni kizuri bt am not sure wht she said,haiwezekan mtu mwenye uwezo kama kiongozi wa wanafunzi atangaze kama amekuacha wakati hamjafunga ndoa?naomba kwanza anijibu maswali yangu, qn no 1 shule yenu ilikuwa inaruhusu mahusiano ya mapenzi?sec qn baada ya tangazo wanafunzi walikuchukuliaje pamoja na walimu wenu?naomba kuwasilisha
Mi mwenyewe nashangaa,it is too imaginary!
 
Teja au yuko kama teja? malipo ni hapahapa duniani, ila usilipe ubaya kwa ubaya, unaweza hata ukampa msaada wa mawazo si pesa
 
Napata shida sana kutoa ushauri kwa kuwa watu wanasema Nazjaz huwa ana tabia ya kuleta stori za kusadikika hapa. Lakini kama ni kweli, huyo mtu ana pontential ya kubadilishah maisha yake akipata msaada kwa kuwa ana cheti kuzuri cha form 6. Msaidie, au tafuta NGO za kusaidia mateja wamsaidie! Atakukumbuka for the rest of his life. Si lazima mrudiane!
 
Hadithi ya kutunga, 100% uongo, how somebody with such pontential i am one of them afanye hivyo? Si kweli, lies, lies

Usisema hivyo, miaka zaidi ya saba iliyopita niliwahi kukaa kwenye baa moja huko Mufindi, Iringa nikaonyeshwa baamedi mmoja ambaye alipata Division One form Four, ila akashindwa kuendelea na masomo kwa kukosa nauli na ada ya kwenda shule. Nilimhurumia sana, lakini sikuwa na jinsi ya kumsaidia kwa kuwa nami nilikuwa mpita njia tu. Mambo haya yapo jamani!
 
Shule gani hiyo inayoruhusu mahusiano ya mapenzi mpaka mnatangaziana talaka assemble?
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.Form six tulipo ingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao.Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia.Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akaungazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua.Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
Mbona habari zimetapakaa mjin kuwa ulichukia sana kwa yale aliyo kutendea mpaka ukamfungia safari wakati wa likizo kwenda kwa bibi mtengeneza leo washangaa nini au bibi kakaza uzi kupitiliza.... Nazjaz natania tu.
 
Kwangu mimi, kumsaidia huyo rafiki yako siyo lazima umpe hela au umpende tena lakini hata kumtafuta ukamsamehe ni kumsaidia pia.
 
Hamna kazi ngumu kama kuchambua ushauri wa watu mbalimbali.
ila thread yako haioneshi kama unahitaji ushauri. Ni kama unatuhadithia tu ila kama unahitaji ushauri naungana na waliokushauri umsaidie ila umchunguze kwanza kama ni mtu anayeweza kubadilika usije ukapoteza resources zako bure.
 
Yaani umepata Div One form 6, eti saa hizi uwe mpiga debe???? Napata kazi kuamini hii??.
Mkuu You are very very Wrong....... Hata Calvin Coolidge agrees with me....

"Nothing in this world can take the place of persistence. Talent will not; nothing is more common than unsuccessful people with talent. Genius will not; unrewarded genius is almost a proverb. Education will not; the world is full of educated derelicts. Persistence and determination alone are omnipotent. The slogan "press on" has solved and always will solve the problems of the human race"

Mkuu ukiwa na persistence na determination hakuna jambo litakalokushinda hata kama ukiwa taahira...., Book Smart is Nothing Exactly nothing zaidi ya kukufanya uwe employable na if your attitude stinks hata kazi hautapata
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom