Namsikitikia, He was my boyfriend

Mh just msamehe na umchukue tena bibiye kama unajiweza umuwezeshe na mpange plans mpya za maisha
 
dah pole sana kwani maandiko yaliposema ukiua kwa upanaga nawe utauawa kwa upanga unadhani ni uongo.sasa aibu yako ama yake?imekula kwake.
 
Div 1.4 PCB! hata kama angalifungwa miaka mitano still hawezi kurudi na kuwa mpiga debe posta.
Ushauri wangu: Onana na Shigongo unaweza pata ka-ajira.:)
 
Kuwahi kiti na kuwauzia wenye kukihitaji nao ni ubunifu wa hali ya juu, inahitaji uwe sayantist kufikiri hiyvo.

Ndiyo kwanza leo niyajuwe hayo, Tanzania tuna ma great thinkers wengi tu.
 
Kuwahi kiti na kuwauzia wenye kukihitaji nao ni ubunifu wa hali ya juu, inahitaji uwe sayantist kufikiri hiyvo.

Ndiyo kwanza leo niyajuwe hayo, Tanzania tuna ma great thinkers wengi tu.
Shida huleta maarifa tena...
 
Kuwahi kiti na kuwauzia wenye kukihitaji nao ni ubunifu wa hali ya juu, inahitaji uwe sayantist kufikiri hiyvo.

Ndiyo kwanza leo niyajuwe hayo, Tanzania tuna ma great thinkers wengi tu.
Yah great myopic thinkers
 
Nazjaz........umemsaidiaje au ndo hukupepesa macho? nakushauri umsaidie aachane na hayo maisha, if you can, if not basi tena
 
siamini kama story hii ni ya kweli....., div 1 ya pt 4 ya PCB huweeeeeezi kuipata ukiwa na hata tabia zinazokaribiana na hizo......,
 
Hapa kuna Uwongo Div 1 ya point 4 asingeweza poteza uelekeo kiasi hicho....wewe ni mtunzi mzuri wa riwaya...Shingongo lazima atakupa kazi kwenye magazeti yake

Kiuhalisia mwnfz anaegonga 1.4 pcb kupiga kona kali kama hiyo ni ngumu sana, atakaengeuka kiasi then atarud kwenye mstari.
 
Haina haja great thinker kuleta maneno Kama ayo na Kama kweli wewe ni great thinker kwa nini usimfuate na kuongea nae kikubwa ili kumuelewesha

Great mind discus idea
Medium mind discus event
Small mind discus people
 
Ndio mana siku hizi watu hawaangaiki kutaka wanafunzi sbb hakuna tofauti kati ya wanafunzi na hawa wa mitaani wote ni used 2.mulianza toka mukiwa wanafunzi nakitafakari kina chako sipati jibu.wanaume tutarefusha sana mitwangio na bado itaonekana imepwaya (vibamia)mwanzo wake ni huu.
 
Back
Top Bottom