Namsikitikia, He was my boyfriend

Duniani kuna mambo. Tuwakumbuke na wale walioko kwenye mazingirz magumu ki maisha, kikazi nk kwa maombi.
Maana maomboi hufungua vifungo mbalimbali vya yule muovu shetani.
Uteja ni kifungo, ni maombi pekee ndiyo silaha ya kumfanya teja akate hamu ya maunga yake na arudie kwenye maisha yaliyo manyoofu.
 
Wakuu naona wengi mmebisha hii sentensi....
Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha.

Mnasema kuwa haiwezekani.. Mtoa Hoja amesema alipigwa kibuti Assemble Mtoa hoja hajasema kwamba walikuwepo wanafunzi wote Assemble labda ilikuwa assemble hall wakiwepo watu wachache bila waalimu na pia issue ya kwamba aliutangazia umma wa wanafunzi hajasema kwamba aliwakusanya wote alafu akawatangazia..., labda alianzisha romours za kwamba amemwacha na watu wote wakajua.... Therefore kwenye Paragraphs alizotoa its audible na inaweza kutokea.... "Swali la kama did it really Happen...., Siwezi Kujua..., Can it Happen.., Ofcourse Yes"

Haya sasa ni maelezo yako binafsi, huwezi kutufundisha jinsi ya kusoma na kuelewa, tunafahamu vizuri maana ya viwakilishi na vivumishi, kama hii story imekunogea ongezea na uongo wako mwingine funguwa thread nyingine kwamba Gilfriend wako wa zamani umemkuta anauza mataputapu. ni uhodari wako tu wa tungo.
 
Mkuu wewe kama umesoma umeelewa zaidi ya mtoa mada huo ni uwezo wako mwenyewe.., lakini huwezi kubadilisha story kwamba haikutokea hivyo sababu ya uelewa wako mkubwa..., Issue hapa ni kwamba Prefect/Boyfriend wake wa zamani asingeweza kumkataa Assembly..., Na mimi nimeonyesha jinsi ambavyo angeweza kumkataa Assembly..., Both of Us tunatumia Paragraph alizotoa mtoa mada ili kuelewa Story.....

Ofcourse haya ni maelezo yangu binafsi kuelezea kwamba ni possible hii issue kutokea kama wewe maelezo yako yalivyo binafsi kusema kwamba mtoa mada amedanganya....,
 
Mkuu wewe kama umesoma umeelewa zaidi ya mtoa mada huo ni uwezo wako mwenyewe.., lakini huwezi kubadilisha story kwamba haikutokea hivyo sababu ya uelewa wako mkubwa..., Issue hapa ni kwamba Prefect/Boyfriend wake wa zamani asingeweza kumkataa Assembly..., Na mimi nimeonyesha jinsi ambavyo angeweza kumkataa Assembly..., Both of Us tunatumia Paragraph alizotoa mtoa mada ili kuelewa Story.....Ofcourse haya ni maelezo yangu binafsi kuelezea kwamba ni possible hii issue kutokea kama wewe maelezo yako yalivyo binafsi kusema kwamba mtoa mada amedanganya....,
Kungekua hamna watu kusingekua na umuhimu wa kupataja maana kusingekua na chochote cha ajabu....ni sawa na kumhadithia mtu kwamba mlitukanana mkiwa nyumbani tena chumbani wakati kusema nyumbani tu inatosha!Wengi walivyoelewa au niseme alichomaanisha ni kwamba kufanya hivyo huyo kaka alimdhalilisha....na kuachwa wakiwa assembly (empty) hakudhalilishi.Kwa maana hiyo kulikua na watu...na hichi ndicho ambacho hakiwaingii watu akilini kwamba kaka wa shule anaweza kusimama pale mbele kitu ambacho kingeweza kumuingiza matatizoni kwa kubainika wanaendekeza mapenzi shuleni!
 
Kwanini kungekuwa hakuna haja ya kupataja Assembly (wakati aliachwa Assembly) kutokuwa na watu au kuwa na watu hakubadilishi Assembly iitwe jina lingine, pia huenda walikuwepo wanafunzi wachache ambao walispread the romour hence mtoa hoja kudhalilishwa..... Its all Possible alafu huenda maneno aliyoyasema ni kumwambia "unikome na uache kunifatafata..., ) To me that is the same as kuachwa na sidhani kama ingeweze kumletea matatizo..., keeping in mind kwamba walikuwepo wanafunzi wachache..... Je is this not possible?
 
kweli inasiitisha.but wewe fanya mpango wa kumsaidia ili aondokane na wimbi la madawa ya kulevya through councelling by specialists.Ondoa tofauti zenu na ukumbuke huyo ni kijana mwenzetu wa kitanzania na hivyo inatupasa kumsaidia.najua ni vigumu but do that
 
Kwanini kungekuwa hakuna haja ya kupataja Assembly (wakati aliachwa Assembly) kutokuwa na watu au kuwa na watu hakubadilishi Assembly iitwe jina lingine, pia huenda walikuwepo wanafunzi wachache ambao walispread the romour hence mtoa hoja kudhalilishwa..... Its all Possible alafu huenda maneno aliyoyasema ni kumwambia "unikome na uache kunifatafata..., ) To me that is the same as kuachwa na sidhani kama ingeweze kumletea matatizo..., keeping in mind kwamba walikuwepo wanafunzi wachache..... Je is this not possible?
Haya mkuu....!
 
Haya mkuu....!
Mhhh tusikubaliane kirahisi hivyo tuseme hii story angeitoa mtu ambae hana historia ya kutokuaminika je isingeaminika...?
Na kama ingeaminika, je haiwezekani kwamba tangia juzi mtoa mada amebadilika sasa anaongea ukweli tu uongo kwake mwiko....?
Mhh niambia kama that is not possible...?
 
Mhhh tusikubaliane kirahisi hivyo tuseme hii story angeitoa mtu ambae hana historia ya kutokuaminika je isingeaminika...?Na kama ingeaminika, je haiwezekani kwamba tangia juzi mtoa mada amebadilika sasa anaongea ukweli tu uongo kwake mwiko....?Mhh niambia kama that is not possible...?
Mi hata sijui ndo maana sikuchangia tokea mwanzo.Na kuumiza kichwa kufikiria kitu ambacho kinaweza kua ni hadithi ya kufikirika tu kwakweli SITAKI!!Haya mpe ushauri....,
 
Leo nimemkuta Posta Mpya, ni mchafu anadandia mabasi. Anawahi siti kupitia madirishani ili wenye kuhitaji siti wampatie ujira wa sh. 500.

Tulikutana naye mwaka 2004 tukiwa form 5.

Tulipendana naye napenzi ya dhati, kama gari na matairi ndivyo tulivyokuwa.

Form six tulipoingia, kuna dada mrembo sana, kwa kuwa boyfriend wangu huyu alikuwa na uwezo sana darasani wasichana wengi wakawa wakimfuata ili awafundishe huku moyoni wakiwa na yao. Miongoni mwa waliokuwa wakimfuata boyfrend wangu ni pamoja na mgeni huyu aliyehamia. Sijui alitumia mbinu gani, akamnyakuwa wangu wa moyo. Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha. Niliumia sana, nikamwachia Mungu.

Tukiwa kwenye likizo ya kusubiri majibu, nikasikia eti my ex boyfriend kapelekwa jela kwa wizi. Sista duu alikuwa anahitaji mambo makubwa, ambayo ili my ex ayamudu ilimbidi aibe na kukwapua. Bahati mbaya za mwizi arobaini, akakamatwa na kufungwa kifungo cha miaka mitatu. Majibu yakatoka, alikuwa amefaulu vizuri sana, one ya point nne PCB.

Sikuwahi kumuona tena ndio namuona leo akiwa ni teja, hana mbele wala nyuma.
Bado naendelea kuamini hii stori ni ya uzushi....TUPA KULE!

Na hwa hapa chini ni magreat thinkers

mlikuwa na ndoa? Shule gani hiyo inaruhusu mahusiano ya kimapenzi hadharani hivyo mpka mtangaziane kuachana?... Mi napata shida kuamini hii story ya Nazjaz!..

Hivi Nazjaz haya ni ya ukweli au ume-create story hapa? Mwanafunzi hata akiwa head prefect, hana mamlaka ya hivyo aise, inamaana shule nzima hata waalim walikuwa wamehalalisha uhusianao wenu? hiyo ilikuwa ndoa shuleni au?

Na ninavyofahamu mimi, ukiwa head prefect ( mimi nilikuwa head prefect pia naelewa) unapotoa matangazo mstarini mwalim wa zamu anakuwepo mstarini. Na siku zote kiongozi unatakiwa kuwa mfano, na hakuna shule inayoruhusu mapenzi shuleni, hiyo ya kwenu itakuwa ya kwanza kwa tz hii!!!!!!!

Hata kama mwalim wa zamu hayupo huwezi in anyhow kutangaza upuuzi huo mstarini. ndo najiuliza hii story ni ya kupika au? Any way pokea ushauri kisha tuletee matokeo ikiwezekana mtaje jina huyo kaka na picha yake iewe jamvini ili waungwana wamsaide.

Kwenye blue hapo Shule gani inayoruhu upuuzi na ujinga kama huo? We Muongo tena koma kudanganya zaidi ya watu elfu 20
Kwenye red hapo dada hakuna, kibaka anayekaa jela zaidi ya miezi 3,vibaka wangapi kitaa anakwapua leo kesho asubuhi yupo nje hii ni FIX

Hii hadithi umejaribu kuitunga vizuri sana, na wachangiaji wengi wameingia ndani ya kumi na nane zako............lakini wajanja kama mimi babu yenu ODM, hata kama ulikuwa unasoma NGONO ACADEMY..... hakuna kitu kama hicho kwenye red kinachoweza kutokea!!!

HAKUNA!......Tupa kule!

Haya sasa ni maelezo yako binafsi, huwezi kutufundisha jinsi ya kusoma na kuelewa, tunafahamu vizuri maana ya viwakilishi na vivumishi, kama hii story imekunogea ongezea na uongo wako mwingine funguwa thread nyingine kwamba Gilfriend wako wa zamani umemkuta anauza mataputapu. ni uhodari wako tu wa tungo.

Kungekua hamna watu kusingekua na umuhimu wa kupataja maana kusingekua na chochote cha ajabu....ni sawa na kumhadithia mtu kwamba mlitukanana mkiwa nyumbani tena chumbani wakati kusema nyumbani tu inatosha!Wengi walivyoelewa au niseme alichomaanisha ni kwamba kufanya hivyo huyo kaka alimdhalilisha....na kuachwa wakiwa assembly (empty) hakudhalilishi.Kwa maana hiyo kulikua na watu...na hichi ndicho ambacho hakiwaingii watu akilini kwamba kaka wa shule anaweza kusimama pale mbele kitu ambacho kingeweza kumuingiza matatizoni kwa kubainika wanaendekeza mapenzi shuleni!

Na huyu hapa chini ni mbishi wa kimataifa........ Hebu angalia hapo kwenye red....AKAUTANGAZIA UMMA WA WANAFUNZI.......... Mkuu unajua maana ya KUTANGAZA? na najua maana ya MBELE? na unajua maana ya UMMA? Kama hujui, basi endelea kumshauri kama alivyokusihi Lizzy hapo juu....

Wakuu naona wengi mmebisha hii sentensi....
Nilipigwa kibuti assemble, my boyfriend was head prefect. Akautangazia umma wa wanafunzi kuwa ameniacha.

Mnasema kuwa haiwezekani.. Mtoa Hoja amesema alipigwa kibuti Assemble Mtoa hoja hajasema kwamba walikuwepo wanafunzi wote Assemble labda ilikuwa assemble hall wakiwepo watu wachache bila waalimu na pia issue ya kwamba aliutangazia umma wa wanafunzi hajasema kwamba aliwakusanya wote alafu akawatangazia..., labda alianzisha romours za kwamba amemwacha na watu wote wakajua.... Therefore kwenye Paragraphs alizotoa its audible na inaweza kutokea.... "Swali la kama did it really Happen...., Siwezi Kujua..., Can it Happen.., Ofcourse Yes"
Kwanini kungekuwa hakuna haja ya kupataja Assembly (wakati aliachwa Assembly) kutokuwa na watu au kuwa na watu hakubadilishi Assembly iitwe jina lingine, pia huenda walikuwepo wanafunzi wachache ambao walispread the romour hence mtoa hoja kudhalilishwa..... Its all Possible alafu huenda maneno aliyoyasema ni kumwambia "unikome na uache kunifatafata..., ) To me that is the same as kuachwa na sidhani kama ingeweze kumletea matatizo..., keeping in mind kwamba walikuwepo wanafunzi wachache..... Je is this not possible?
 
Naona kama kusadikika?au duniani wawili wawil I mean watu hufanana,haingii akilini mwanafunzi aliyepata div 1.4 asijitambue kwa kiasi hicho ingawa in other case inatokea,ila kama kweli msaidie na umuonyeshe umuhimu wake isitoshe one the day mnapendana wote mlikuwa wanafunzi watoto pengine mlikuwa hamjui thamani ya kitu(mapenzi) mlichokianzisha so kama kweli mpeleke kitu cha ushauri na aulizwe kipi kilimsibu in his life .
 
Hii story ya kutunga wala haina ukweli wowote! Kafungwa miaka 3, kapata div 1 point 4 PCB. Kwanini hakuenda chuo kikuu baada ya kutoka gerezani? Siamini kama jamii inyomzunguka kijana huyu ni wajinga kiasi hiki hata wasimpe ushauri!

Omba kazi kwa Shigongo akupe ukurasa kwenye gazeti la kiu!
 
Bado naendelea kuamini hii stori ni ya uzushi....TUPA KULE!

Na hwa hapa chini ni magreat thinkers

Na huyu hapa chini ni mbishi wa kimataifa........ Hebu angalia hapo kwenye red....AKAUTANGAZIA UMMA WA WANAFUNZI.......... Mkuu unajua maana ya KUTANGAZA? na najua maana ya MBELE? na unajua maana ya UMMA? Kama hujui, basi endelea kumshauri kama alivyokusihi Lizzy hapo juu....
Halafu watu wake wote kwenye thread zake anakutana nao posta mpya ...lol
 
Nazjaz nawe kama mtata,mapenzi mkiwa sec sch yalikukolea hivyo?Hayo huwa ni ya kupitisha muda tu na huwa ya siri kwa pande zote,nyie mlifikia hata kutangaziana talaka assembly?Any kama binadamu yoyote namuonea huruma kwa u-teja wake,lakini unaweza kumsaidia afike rehab centers aachane na ubwiaji unga.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom