Namsikitikia, He was my boyfriend

mchungaji punguza hasira, wengine in psychopath aisee... fuatilia threads za nazjaz zote utagundua anaumwa
KIWAVI bana, yaani wewe umefuatilia umeona ni mgonjwa? Kweli kazi tunayo....
 
Nazjaz, msaidie rafik yko hta kdogo, unajua kna njia nyingi za msaada, naamin unampenda ila wakat umempita, mpe kamsaada hata kadogo hata kwa kupitia mgongo wa mtu, na si kumpita km humjui. N ushaur wangu, ila msaada huo usipitilaze ukakuharibia.
Nilipo kutana naye sikumchunia, nilizungumza naye machache na kumuachia red carpet.Nililia sana.......I really dont know how to help him hasa ikitiliwa maanani he was my first boyfriend, nadhani wadada wanaelewa nnacho kimaanisha
 
Napita tu, maana Nazjaz thread zake zimejaa utata mtupu

Manyanza, you are absolutely right,
unajua Nazjaz amezoea masikhara sana katika posts zake,
kiukweli inakuwa ngumu kushindwa kuamini kwamba huu nao ni utenzi fulani,
anyway, napita tu.........................
 
im very serious, hebu kuweni waungwana.
Namna yetu wadada ya kufikiri inaathirika kutokana na mazingira na haki halisi. Mama mjamziti anawaza tofauti na anaye blidi, anayeblidi anawaza tofauti na aliye kwenye siku zake za kawaida.
 
Wakuu, JF ingekuwa kila mtu anapost yaliyomsibu pekee nadhani kungekuwa kuna post 10 tu, mbili zangu na za wengine 8...
Nadhani kama story ina-possibility ya kutokea sioni tatizo cause ushauri huo unaweza ukamsaidia mwingine indirectly..


unajua mkuu, tatizo ni kwamba ukiwa mtu wa masikhara sana kwenye posts zako,
basi unawajengea watu concept fulani kuwa wewe ndo upo hivyo,
sasa ukijaribu kufuatilia posts za huyu Nazjaz karibu zote zimejaa jokes tu,
hii wakati mwingine watu wanaamua kukujibu kimasikhara hivyo hivyo,
hata kama ulikuwa serious.......lol..............
''First impression always last long ..........................''
 
hiki kisa ni kizuri bt am not sure wht she said,haiwezekan mtu mwenye uwezo kama kiongozi wa wanafunzi atangaze kama amekuacha wakati hamjafunga ndoa?naomba kwanza anijibu maswali yangu, qn no 1 shule yenu ilikuwa inaruhusu mahusiano ya mapenzi?

sec qn baada ya tangazo wanafunzi walikuchukuliaje pamoja na walimu wenu?
naomba kuwasilisha
 
Dah inasikitisha kwakweli,but ndio hivo its past and gone,labda umsaidie mawazo tu ya kumtoa kwenye hiyo hali au hata fedha kuanzisha mradi.Ila si kurudiana nae,chizi huwa haponi anapata nafuu tu siku akiona jalala hata kama yupokwenye gari anatamani ashuke.So be carefull hasa kama una mtu mwingine sasa na definately yes!
 
Guys,
The guy has not lost all that belongs to him...could be helped and as an intelligent man, could turn his life around...we all make mistakes and some pay the price that the guy has paid....we have to learn to be humble when hearing such sad news because next time i might not be to the next door, but just inside our houses.
 
im very serious, hebu kuweni waungwana.Namna yetu wadada ya kufikiri inaathirika kutokana na mazingira na haki halisi. Mama mjamziti anawaza tofauti na anaye blidi, anayeblidi anawaza tofauti na aliye kwenye siku zake za kawaida.
Ulipomuona ulichukua hatua gani? Ulifanya nin? Kumbuka huyu alikupiga kibuti Assemble so mnahistoria isiyoweza futika kirahisi. Ulifanya nini? NAZJAZ HEBU JIBU COMMENTS ZA WATU KM UPO SERIOUS!
 
Back
Top Bottom