FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao.
Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia)
Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho mbaya, hii itafanya upendo urudi.
Nne,watoto wataheshimika.
Mwisho wapo kama milioni moja au laki tano nchi nzima ukizidisha milioni moja Mara elfu moja ni bilioni moja kila mwezi kwa serikali ni pesa ndogo sana hiyo. Pia itaepusha usumbufu wa kuwapikia shuleni. Watoto wanapata tabu kuomba mia mia nyumbani.
Ikifika kila mwisho wa juma jumamosi wanaenda shule kuchukua elfu tano yao kila darasa na wakala mmoja wa simu wakulipa
Nb:kwa wale wa vijijini sana watapikiwa chakula wakitaka mana daladala si lazima kwao.