ninavyomjua mwita ni mojawapo ya wana jf ambao mara nyingi ideas zao zina mshiko, sasa hii ya leo ya kuja na hii si kufulia huku jamani.
Thread closed for the sake of safeguarding FF interests.
Its already twilight here in Machozimbokabuzondepalesodikanistan!
D.Y.A.M.E!!! Thot my time zone is as well as yours.
"AshaDii Wishes Each and Every one at JF Happy Festive Greetings"
-Regards With Abundant Love-
Glad to see that you have that ordeal................
Be specific whether you mean a Merry X-Mas and a Happy new Year?.................
Ndiyo manake! Kwani nani kasema mtu kujipenda mwenyewe ni dhambi? Ni upuuzi sana kuona mwanamke anaanzisha thread za kumpenda FF kila siku bila hata sababu za msingi na kutuacha wanaume watanashati kama mimi. Huyo FF mwenyewe nasikia ni bibi kizee wa kutupwa na hafai hata kuwekwa ndani. Upuuzi mtupu.