Nampenda sana Mwita25

Nampenda sana Mwita25

Acha mambo yako weye. Ati kila mtu hapa jamvini anajifanya oooh ulivyopigwa ban mimi nikakuombea uachiwe. Halafu wewe inaelekea ni pedophile wa kufa mtu. Haiwezekani uwe unanipenda kijana mdogo kama miee. Kwanini usifuate wazee wenzio kina Nyani

Contradiction, amuwa wewe ama ni "pedo" ama ni "kijana". Huwezi kuwa na yote mawili.
 
Mie nilifikiri wewe na Mwita mnakaa nyumba moja.

No no ! Ninapoishi mie pako nyeti, lami hadi mlangoni milio ya Tausi mda wote, na bahari haiko mbali, Mwita ubavu wa kukaa huku labda arudi Tarime akamalizie kuuza Ng'ombe waliobaki ndiyo ata'afford.
 
Huyu FF ndiyo kitu anachostahili hiki. Kila mtu hampendi humu ndani.



Mwita jana tu uliniambia kua moja ya mafanikio yako 2011 ni kukutana na FF ila tu ulisikitika hamkupiga picha, mbona sasa wageuka?
 
Si makosa yake jamani nasikia kwao kule ile nanihii kwao mboga. Sasa haya ndio matokeo yake ya muda mfupi, huko mbeleni sijui itakuwaje, ataanza kuona meno yanamuwasha, anachukuwa tupa na kuyafanyia ukarabati, labda hajatoka kwao huyu.
 
Ukute mwita ni waziri afu utegemee mikataba isio feki kweli?

Join Date : 15th April 2011
Posts : 3,446

Rep Power : 106

kumbukeni Hizo posts 3446, ni pamoja na hii.
 
Ukute mwita ni waziri afu utegemee mikataba isio feki kweli?

Join Date : 15th April 2011
Posts : 3,446

Rep Power : 1062

Bila kusahau Hizo posts 3446, ni pamoja na hii.

Cheki apa,,,,,,,
Join Date : 20th July 2010

Posts : 616

Rep Power : 397



Mmmh!!!!
 
Tangu lini mwita anamponda FF, kweli magamba ya vitunguu haya!
 
Nakumbuka niliwahi kuwauliza Mods kwamba hapa Jf hapauzwi pombe ? Kwa maana mie nna "Jini Makatta" halikubaliani na pombe! Nikahakikishiwa kua pombe hapa prohibited! That's why nika'join, hata hivyo nashangaa kuona membars wamelewa wako bwii ! Nahisi bado pombe humu inauzwa kwa siri ! Tena asubuhi hivi looh !

yalaaa! Makubwa!
 
Nyie mustakabali wetu nini? Mbona marumbano yamezi hoja za mantiki tuweke huru akili zetu ili tujadili,na tufikie kukubaliana au kutokukubaliana kwa hoja za msingi.ahsante nadhan mmelewa
 
Nyie mustakabali wetu nini? Mbona marumbano yamezi hoja za mantiki tuweke huru akili zetu ili tujadili,na tufikie kukubaliana au kutokukubaliana kwa hoja za msingi.ahsante nadhan mmelewa

Wewe bwa-mdogo hili sio jukwaa la siasa! Naona unaitwa "Lowasa namkubali". Angalia POSHO zinavyowasumbua ! Sasa mwenyewe Mz. Mamvi ajiiteje? Hebu tafuta jina zuri ! Watu kama nyie ndiyo utakuta mlitanguliza miguu wakati wa kuzaliwa!
 
Mimi nampenda sana Matumbo..uyu kijana ni hazina kwa Taifa hili..
 
Faiza foxy ni mzuri kuliko maelezo,we muombe akuvulie ila hijabu ujionee mwenyewe. Ila na wewe hongera kwa kujipenda.Nalog off
 
...a lot of people quite often instead of having something to say, they just say something...
 
Back
Top Bottom