Nampenda huyu Mume

Nampenda huyu Mume

View attachment 521673


Jazzy is one of the luckiest women on planet kuwa na mume anayempenda kama alivyo.
Huyu mwanaume amependa kila "spare tire" mwilini mwake, kila stretch mark na jinsi alivyo bila kujali au kuona kama yeye anavutia zaidi ya mkewe.

"How could a man who was 'born fit' love someone like me! I don't have a flat stomach, I jiggle when I walk, hell if I run up the stairs to fast my body claps (lmao)!! But now I see I do have the 'perfect' body!! Every roll, every curve and every stretch mark is put on me just perfect to make both of us happy!!!..

View attachment 521816

Post ya Jazzy ni viral Insta, na amesifiwa sana kwa ujasiri. Sio wote tunaweza jianika hivyo na bathing suit, halafu mwanaume yuko Fit hivyo.
Wakina kaka mtupende na spare tires zetu kama mwenzenu, mbona nyie tunawapenda na vitambi vyenu??!!!

The guy is HAWT! tho..

View attachment 521679

Hii itakuwa limbwata sio bure
 
Maisha unavyozidi kuwa ovyo na kauli za ovyo uwezi kuzikwepa
 
Hii itakuwa limbwata sio bure


Sidhani Usher!, ni mapenzi tu. Na pia inaonekana mdada aliongezeka zaidi baada ya watoto lakini haikumzuia mume wake kuendelea kumpenda. Ingawa pia mwanaume anaonekana ni mtu wa kujali sana afya, na kupiga tizi la nguvu.
 
Mmekalili...qualities za mwanamke ndo zinazomfanya mwanaume a stick kwako kwa long time..uzuri sawa ila hatadumu kwako kwa mda mrefu km huna zile qualities za uhakika
 
Back
Top Bottom