Mr Makunduchi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 995
- 492
Usijari uyo tutampereka zoba forums
Ngoja Ramadan ipite naogopa kutengua swaum za watu miee[emoji4][emoji85] [emoji85]Hivi dada ukoje hebu tuna kapicha nifanye utafiti Wa kamati ya mchanga
TumeshafuturuNgoja Ramadan ipite naogopa kutengua swaum za watu miee[emoji4][emoji85] [emoji85]
Achana na yule njiti, yule mwingine ambae unazidisha hiyo namba.Yule mwenye kilo 45
Jirani kesho nakupitia tuanze tizi, ujirani mwema.Jiran mbona hvyo lakin enhee
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Ha ha ha hvyo hvyo tu
Ha ha ha jiran uvae Ile skin tight yako basi c unajua nguo za mazoezJirani kesho nakupitia tuanze tizi, ujirani mwema.
Yule siku hzi amekua jin mkata kamba ametoka mashindnonAchana na yule njiti, yule mwingine ambae unazidisha hiyo namba.
Jirani daktari aliniambia niwe nafanya mazoezi na dera, hewa muhimu.Ha ha ha jiran uvae Ile skin tight yako basi c unajua nguo za mazoez
Jirani ungekuwa na mita sasa hivi ingekuwa haisomi, imegoma kabisa.Yule siku hzi amekua jin mkata kamba ametoka mashindnon
Jiran ukija na dera nakukimbiaJirani daktari aliniambia niwe nafanya mazoezi na dera, hewa muhimu.
Lazima ipande ,ila atakuwa na mbadala wake huko instaNdio kwa kiasi chake..ila sio muda wote
Daah jiran unaniua sana ungekuwa mwanaume ningehisi tunakula manzi mmojaJirani ungekuwa na mita sasa hivi ingekuwa haisomi, imegoma kabisa.
Mwangalie machoni huyo Jazzy.
Ukiwa intuitive utaona wazi kabisa ana amani moyoni mwake.
Energy yake ipo excellent.
Huwezi zuia kumpenda mtu wanamna hii.
Real recognizea real.
Baadhi wapo na muonekano poa lakini energy zao sio kabisa.
Positive vibes sio kwa tunayoongea tu na kutenda.
Hata vile watu wanatuwazia wakituona kwenye picha au sehemu za shughuli zetu.
Hiyo ni sawa na when Google is shut down and you can longer Google what is in the Google...hahaaHivi mkuu siku JF ikikosekana hewani si utapatwa na "JF arosto"
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hivi mkuu siku JF ikikosekana hewani si utapatwa na "JF arosto"
Ndio vizuri maana utakuwa ushafanya zoezi tayari.Jiran ukija na dera nakukimbia
Yea, kuamua kujipenda unapologetically sio jambo rahisi.Ni kweli mkuu, na huu ujasiri wake wa kutoka hivi umewatia moyo watu wengi wanao semwa kama yeye. Amepata positive response nyingi sana kuliko negative once. Wengi wamemshukuru kuwatia moyo.
Jirani si ni ukweli lakini?Daah jiran unaniua sana ungekuwa mwanaume ningehisi tunakula manzi mmoja