Nampenda huyu Mume

Hakuna cha mazingira hapo naongea kutokana na uzoefu. Huyo binti yuko vizuri tu tatizo lake hajiamini anadhani anapendelewa tu kwa kupendwa na huyo jamaa.


Tata milimaanisha mazingira waliopo.
Wana tabia ya ku discourage weight kama ya huyu bibie sometimes.
Na ndo maana hata yeye alishangazwa kwa kiasi jinsi ambavyo mumewe, ambae yuko very fit, kumpenda alivyo.
 
Back
Top Bottom